GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Kama Mama yako Mzazi.Kwamba mleta uzi ni juha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Mama yako Mzazi.Kwamba mleta uzi ni juha
Simon Msuva anamtishia Lionel Messi. Hopeless....!!Mods mnaona huyu mjinga anavyotunga maneno ambayo Hersi hakuyasema, naomba alete ushahidi wa sauti akishindwa apigwe ban kama adhabu ya kudanganya jukwaa, me binafsi adhabu yangu ataipata huko pm kwake ananijua vizuri
"Wana Yanga SC wote ni Mbwa, Nyani na Sokwe", aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael na ipo YouTube kaitizame."wanasimba wote ni mbumbumbu" Rage.
hasira za kufukuzwa kazi, ni kawaida kwa mtu kumtukana bosi baada ya kufukuzwa kazi. Rage alisema wanasimba wate ni mbumbumbu akiwa mwenyekiti wa simba, ni watu aliokuwa anawaongoza hawezi kuwasingizia."Wana Yanga SC wote ni Mbwa, Nyani na Sokwe", aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael na ipo YouTube kaitizame.
Siyo Muajiriwa wa Timu…Ishu ya msingi Rais wa timu anakuwaje sio mtumishi wa timu?!
Wewe nae ni kondoo tu. Kazi kutoa vibanzi kwa wenzako wakati na wewe JICHO lako lina kijititulisema wengine tutaoga matusi ndiyo Kiswahili gani hiki? Nikisema kutwa hapa kuwa ukijua Unamchukia GENTAMYCINE basi jitahidi sana Kichwani ziwe zimetia kisawasawa huwa mnaona kama vile nawatukana au nawadhalilisha wakati kumbe Kiuhalisia huwa nakuwa sahihi sana tu.
"Wana Yanga SC wote ni Mbwa, Nyani na Sokwe", aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael na ipo YouTube kaitizame.Alisema hayo kwa hasira za kufukuzwa kazi na hakuwa na wadhifa wowote Yanga, lakini rage akiwa mwenyekiti wa simba alisema wanasimba wote ni Mbumbumbu, ni kama leo mangungu aseme hivyo.
hasira za kufukuzwa kazi, ni kawaida kwa mtu kumtukana bosi baada ya kufukuzwa kazi. Rage alisema wanasimba wate ni mbumbumbu akiwa mwenyekiti wa simba, ni watu aliokuwa anawaongoza hawezi kuwasingizia.
Kama unashabikia Yanga SC yawezekana ukawa Mtani.Mtani ina maana hata mimi mjukuu wako ni tahira
damn Moron.Wewe nae ni kondoo tu. Kazi kutoa vibanzi kwa wenzako wakati na wewe JICHO lako lina kijiti
Ujuaji mwingi mbele kiza
waafrika wote sokwe, Nyani wanarushiwa ndizi na wazungu kaangalie youtube video zipo, lakini "wanasimba wote ni Mbumbumbu" Aden Rage mwanachama wa simba na aliyekuwa mwenyekiti wa simba."Wana Yanga SC wote ni Mbwa, Nyani na Sokwe", aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael na ipo YouTube kaitizame.