Huenda Yanga SC wenye akili wakawa ni Wawili Watatu tu kwa Kauli hii ya Rais Hersi Said

Mods mnaona huyu mjinga anavyotunga maneno ambayo Hersi hakuyasema, naomba alete ushahidi wa sauti akishindwa apigwe ban kama adhabu ya kudanganya jukwaa, me binafsi adhabu yangu ataipata huko pm kwake ananijua vizuri
Simon Msuva anamtishia Lionel Messi. Hopeless....!!
 
Alisema hayo kwa hasira za kufukuzwa kazi na hakuwa na wadhifa wowote Yanga, lakini rage akiwa mwenyekiti wa simba alisema wanasimba wote ni Mbumbumbu, ni kama leo mangungu aseme hivyo.
"Wana Yanga SC wote ni Mbwa, Nyani na Sokwe", aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael na ipo YouTube kaitizame.
hasira za kufukuzwa kazi, ni kawaida kwa mtu kumtukana bosi baada ya kufukuzwa kazi. Rage alisema wanasimba wate ni mbumbumbu akiwa mwenyekiti wa simba, ni watu aliokuwa anawaongoza hawezi kuwasingizia.
 
tulisema wengine tutaoga matusi ndiyo Kiswahili gani hiki? Nikisema kutwa hapa kuwa ukijua Unamchukia GENTAMYCINE basi jitahidi sana Kichwani ziwe zimetia kisawasawa huwa mnaona kama vile nawatukana au nawadhalilisha wakati kumbe Kiuhalisia huwa nakuwa sahihi sana tu.
Wewe nae ni kondoo tu. Kazi kutoa vibanzi kwa wenzako wakati na wewe JICHO lako lina kijiti

Ujuaji mwingi mbele kiza
 
Alisema hayo kwa hasira za kufukuzwa kazi na hakuwa na wadhifa wowote Yanga, lakini rage akiwa mwenyekiti wa simba alisema wanasimba wote ni Mbumbumbu, ni kama leo mangungu aseme hivyo.
hasira za kufukuzwa kazi, ni kawaida kwa mtu kumtukana bosi baada ya kufukuzwa kazi. Rage alisema wanasimba wate ni mbumbumbu akiwa mwenyekiti wa simba, ni watu aliokuwa anawaongoza hawezi kuwasingizia.
"Wana Yanga SC wote ni Mbwa, Nyani na Sokwe", aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael na ipo YouTube kaitizame.
 
"Wana Yanga SC wote ni Mbwa, Nyani na Sokwe", aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael na ipo YouTube kaitizame.
waafrika wote sokwe, Nyani wanarushiwa ndizi na wazungu kaangalie youtube video zipo, lakini "wanasimba wote ni Mbumbumbu" Aden Rage mwanachama wa simba na aliyekuwa mwenyekiti wa simba.
 
Back
Top Bottom