pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Yanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi.
mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19.
hapo hata kanuni isipoishusha watakua wamejishusha wenyewe.