pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Hatuchezi ng'ooooYanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi.
mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19.
hapo hata kanuni isipoishusha watakua wamejishusha wenyewe.
amka usije kojolea godoro!Yanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi.
mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19.
hapo hata kanuni isipoishusha watakua wamejishusha wenyewe.
Nadhani mahesabu yako hayako sahihi sana. Uto wasipocheza mechi tatu za mwisho watapokonywa pwenti 45 na hivyo kubakiwa na pwenti 28. Pwenti tatu za kila mechi hazichukuliwi kutoka katika walizonazo sasa, ni kama vile wamecheza mechi wakafungwa. Huo ndiyo ufahamu wangu ulipo.Yanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi.
mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19.
hapo hata kanuni isipoishusha watakua wamejishusha wenyewe.
SawaNadhani mahesabu yako hayako sahihi sana. Uto wasipocheza mechi tatu za mwisho watapokonywa pwenti 45 na hivyo kubakiwa na pwenti 28. Pwenti tatu za kila mechi hazichukuliwi kutoka katika walizonazo sasa, ni kama vile wamecheza mechi wakafungwa. Huo ndiyo ufahamu wangu ulipo.
Kwa pwenti 28 zao ina maana watacheza playoffs, kama sikosei.
Ila usiwe na shaka, vyura hao watacheza vizuri tu 15/06.
Hawa wapuuzi wanaweza wasicheze derby ila wakapiga mahesabu ya kubaki ligi kuu kwa kucheza mechi mbili za mwisho.Sawa
Yanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi.
mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19.
hapo hata kanuni isipoishusha watakua wamejishusha wenyewe.
Ligi ipi.?? Hii ya NBC_PL.?Yanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi.
mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19.
hapo hata kanuni isipoishusha watakua wamejishusha wenyewe.
Popoma toleo la mwishoNadhani mahesabu yako hayako sahihi sana. Uto wasipocheza mechi tatu za mwisho watapokonywa pwenti 45 na hivyo kubakiwa na pwenti 28. Pwenti tatu za kila mechi hazichukuliwi kutoka katika walizonazo sasa, ni kama vile wamecheza mechi wakafungwa. Huo ndiyo ufahamu wangu ulipo.
Kwa pwenti 28 zao ina maana watacheza playoffs, kama sikosei.
Ila usiwe na shaka, vyura hao watacheza vizuri tu 15/06.
Nawe unaandika usichoelewa, Yanga amegomea mchezo mmoja tu namba 184. Hiyo mingine anacheza.Yanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi.
mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19.
hapo hata kanuni isipoishusha watakua wamejishusha wenyewe.
Nyie huko CAFL mna nini?Hawa wapuuzi wanaweza wasicheze derby ila wakapiga mahesabu ya kubaki ligi kuu kwa kucheza mechi mbili za mwisho.
Naamini vyura wanatamani sana kwenda CAF Shirikisho msimu ujao na wana uhakika wa kumfunga tawi lao Singida katika fainali ya CRDB. Wanajua huko wanaweza pata chochote kitu kulinganisha na CAFCL.
Umecalculate vibaya hapo ilibidi tubaki na point 28 ambazo zitatuwafanya tukacheze playoff ambapo tutagoma tenaYanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi.
mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19.
hapo hata kanuni isipoishusha watakua wamejishusha wenyew
Hahahaaaaaa!amka usije kojolea godoro!
Hachuchechi!Hatuchezi ng'oooo
No reform no election
October hatutiki