CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kuna watu wanaamni ukisoma ndo unaweza anzisha ulicho somea.
Elimu na Kuona furusa ni sawa na mbingu na nchi. Unaweza usisome na ukaanzisha hospitali mara baada ya kuona Furusa.
Mengi hajasomea Mass commnication ila ana miliki vyombo vya habari na anapiga pesa.
Unaweza soma Animal Sayansi ila ukaona furusa kwenye Micro finance na ukafungua Micro finance company na ukapiga pesa mbaya.
Kuna Madakitari wa binadamu nawajua waliacha Udakitari na kuingia kwenye kilimo ni baada ya kuona feature huko.
Unaweza soma Masscomnication ila ukaona furusa kwenye Huduma ya Afya na ukafungua Hospitali yako na kuajiri Ma Dr.
Hizi elimu zinatudanganya sana na kuamini kwamba ukisoma basi fanya ukicho somea.
Unapaswa kuangalia furusa baada ya hapo na plan utaitekeleza vipi hiyo Furusa yako.
Watu wanashangaa IT kuuza mahindi ila hawajawahi kujiuliza hivi Mengi ana elimu ya Utangazaji au Uandishi wa Habari? mbona anamiliki vyombo vya habari?
Sina uhakika kama Mohamed Entreprises kasomea Agriculture ila ana mashamba yakiwemo ya mkonge. Huyo anazungumziwa vipi?
Wamiliki wa mabasi wamesomea Transport? wana elimu ya Usafirishaji? Tusha wahi kuwashangaaa?
Wakulima wakubwa Tanzania wamesomea Agriculture? Tusha wahi kuwashangaaa?
UOGA NA AIBU NDO MUHIMILI WA KUTO FANIKIWA
Sent using Jamii Forums mobile app