BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Ni majira na Nyakati zimefika kwamba wauwaji Wasiojulikana wameanza kujulikana! Kwa ukimyaa wa Viongozi kukemea na kuchukua hatua inaonyesha ndio Waasisi wa haya mauaji,kulinda utawala wao.
Historia inaonyesha kuwa ukiua watu damu zao zinadai malipo, Viongozi walikufa japo walipenda watawale miaka mingi, Wakumbukeni Magufuli,Idd Amin, Hitler n.k
Yuko Mungu wa Mbinguni anayefuatilia Matendo yetu. Iko siku roho za watu unazoshiriki kuua zitaanza kuku haunt,hutakuwa salama. Tuendelee kuwaweka peupe na kukataa kutekwa au kukamatwa bila utaratibu.Watu waanze kuita Msaada kukiwa na Dalili za kutekwa.pia Wajikabidhi Kwa Mungu, Zaburi 127:1
Zaburi 127:1
(BWANA asipoijenga nyumba
Waijengao wafanya kazi bure.
BWANA asipoulinda mji
Yeye aulindaye akesha bure.)