Happy birthday chakorii nakuombea miaka tele yenye amani Furaha katkita nchi uliyopewa na bwana Mungu
Woooooow...!!!!!! Hongera sana my lovely one Mungu akulinde na mabaya yote ya dunia , akupe umri mrefu wenye heri na fanaka tele.
99yrs inakutosha sana my choice Mshike Mungu wako na ishi na watu vizuri.
NIPO NAFANYA MAZOEZI YA KWAITO HAPA NA KUKUBAMBIA CHURA HAPA..
Sijapenda lkn ulichofanya nadhani unajua kwani maana nilikua nimeanda something special to you..
BTW
HAAAAAAAAPY BIRTHDAY Chakorii Love u sana.
[HASHTAG]#HBD[/HASHTAG] JQ
[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]
Okayyy..... Enjoy ur dayMimi ni KE mkuu.
Asante sana mkuu
Hongera my mdogo. M'mungu akupe maisha marefu yenye wingi wa baraka tele.
Ila na wewe kwa nini uliwahi sasa ungengoja kidogo tukasherehekea pamoja. [emoji23][emoji23]
Hongera my mdogo. M'mungu akupe maisha marefu yenye wingi wa baraka tele.
Ila na wewe kwa nini uliwahi sasa ungengoja kidogo tukasherehekea pamoja. [emoji23][emoji23]