Huhuuuu..Its my birthday [emoji512]

Huhuuuu..Its my birthday [emoji512]

Hongera my mdogo. M'mungu akupe maisha marefu yenye wingi wa baraka tele.

Ila na wewe kwa nini uliwahi sasa ungengoja kidogo tukasherehekea pamoja. [emoji23][emoji23]
 
Happy birthday B. Hahahaha. Siunajua jirani yako navyokupenda eeeh. Fanya kunitumia location ya tukio kabla sijapitwa na keki.

dcb47890203d0f0ee9180362a589f76d.jpg



Shunie Sakayo mjiandae kwa kwaito leo .

Ohooo yeah jirani yangu.hujawahi kuniangusha kabisa...[emoji9]

Nipe uhakika utakuja jirani..sio nijikoki hapa halafu usije....jirani nitakuwa sikuelewi.
 
Happy birthday chakorii nakuombea miaka tele yenye amani Furaha katkita nchi uliyopewa na bwana Mungu

Ohooo Amen!Amen!mkuu.[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]comment yako inazidi kunipa nguvu ubarikiwe mpka ushangae
 
Inna yako lini?

Halafu Chakorii uzi wako unashida gani mbona siwezi kumqoute mtu

Mamaaaaaaaaaaaaa nini shida jamn!!!na bila kukotiana mambo hayanogi.hebu niambie mtaalamu wangu wapi nimekosea pengine nirekebishe aiseeh
 
Woooooow...!!!!!! Hongera sana my lovely one Mungu akulinde na mabaya yote ya dunia , akupe umri mrefu wenye heri na fanaka tele.
99yrs inakutosha sana my choice Mshike Mungu wako na ishi na watu vizuri.

NIPO NAFANYA MAZOEZI YA KWAITO HAPA NA KUKUBAMBIA CHURA HAPA..

Sijapenda lkn ulichofanya nadhani unajua kwani maana nilikua nimeanda something special to you..
BTW
HAAAAAAAAPY BIRTHDAY Chakorii Love u sana.
[HASHTAG]#HBD[/HASHTAG] JQ
[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]

Chank uuuu malove.yote mema niyapate katika jina lipitalo majina yote.

Nooooooooo [emoji15][emoji15]99yrz no you are not siriazi at all.ungefanya 1 century kidogooo ningekuchumu.

[emoji12][emoji12][emoji12]unfortunately chura hayupo baba hapa.

Mamaaaaaaaa yani nisamehe nimejisahau completely aiseeh.si unajua leo ni siku yangu...yani kwa furaha niliyonayo leo...we acha tu
 
Hongera my mdogo. M'mungu akupe maisha marefu yenye wingi wa baraka tele.

Ila na wewe kwa nini uliwahi sasa ungengoja kidogo tukasherehekea pamoja. [emoji23][emoji23]

Dada @emmyta,nakushukuru sana kwa maombi yako.Mungu wetu ni mwingi wa rehema tunaishi kwa makusudi mama.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8].

Unaonekana mpole sana na mwenye busara sana.mwandiko wako umekuwa ukinionesha hivyo sijui kwanini.[emoji179][emoji179][emoji179][emoji173]️
 
August daby! Upo? Miss you....jpil njema kwako na kwa wifi yangu mtarajiwa.

Hili swala la ku quote ata kwangu pamegoma
 
Ahsante nashukuru my mdogo Chakorii kwa kuliona hilo nadhani ndio niko hivyo. Ubarikiwe.

Nashindwa ku quote sijui kwa nini?
 
Jiran chakorii uzi wako una shida sijui hatuwezi ku quote
 
Hongera my mdogo. M'mungu akupe maisha marefu yenye wingi wa baraka tele.

Ila na wewe kwa nini uliwahi sasa ungengoja kidogo tukasherehekea pamoja. [emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]hafu mama angu nae...sijui alikosa vocha ya kumpigia mama ako..maana si kwa kuwahi huku.si angesubiri kidgo nikapata twin hapa jf jamani!!!
 
August daby! Upo? Miss you....jpil njema kwako na kwa wifi yangu mtarajiwa.

Hili swala la ku quote ata kwangu pamegoma
Uwiiii ni nini mbaya jmn mbn huu uzi unataka kunigaribia siku tena....
 
Back
Top Bottom