Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana , binadamu kumbe tunapitia mengi sana unaweza kujihiso unyonge na kushindia ugali dagaa wkt kuna watu wao wanatamani wapate hata uwezo wa kumeza tonge tu.pole yake sana,maradhi ni kuyasikia tu kwa mwenzio.
nilipigwa ngwengwe la mapafu juzi hapo nikakoma.nilikosa raha kiasi cha kufkiria kujitoa uhai.
mungu saidia kwasasa mzima na naendelea na majukumu
Wabongo hamkosagi la kusemaAje Bongo tumuaguwe, zongo hilo [emoji854]
Ndio maana tukawa wabongo,Wabongo hamkosagi la kusema
Ingekuwa bongo ungeskia wamemroga kina naninoMoja kwa Moja..
Msanii maarufu Justin Bieber ameshea video kwenye account yake ya instagram akieleza hali hiyo iliyompata inayosababishwa na virus aitwae 'Varicella zoster' ambao hushambulia nerves za sikio na uso.
Kutokana na ugonjwa huo Justin Bieber upande mmoja wa uso hawezi kutabasamu na macho yanashindwa kupepesa tena. Hali hiyo imesababisha shows zake zilizopangwa kufanyia siku za karibuni kufutwa vile vile amesisitiza kuwataka watu wamuombee kwa Mwenyezi Mungu arejee Ktk hali yake ya kawaida.
View attachment 2258852
Enzi za ujana na uzima
View attachment 2258855
Hali mpya
View attachment 2258856
Kashapona sasaMoja kwa Moja..

Bora aiseeKashapona sasa