Hujafa hujaumbika: Msanii Justin Bieber apatwa na ugonjwa wa facial paralysis

wabongo ugonjwa huo unatupata wengi sema wanaupotezea tu..unamkuta mtu 25yrs lakin uso kama 50plus hv
 
pole yake sana,maradhi ni kuyasikia tu kwa mwenzio.
nilipigwa ngwengwe la mapafu juzi hapo nikakoma.nilikosa raha kiasi cha kufkiria kujitoa uhai.
mungu saidia kwasasa mzima na naendelea na majukumu
 
pole yake sana,maradhi ni kuyasikia tu kwa mwenzio.
nilipigwa ngwengwe la mapafu juzi hapo nikakoma.nilikosa raha kiasi cha kufkiria kujitoa uhai.
mungu saidia kwasasa mzima na naendelea na majukumu
Pole sana , binadamu kumbe tunapitia mengi sana unaweza kujihiso unyonge na kushindia ugali dagaa wkt kuna watu wao wanatamani wapate hata uwezo wa kumeza tonge tu.
 
Ingekuwa bongo ungeskia wamemroga kina nanino
 
Kashapona sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…