Hiyo ni Anasa. Huwezi tumia pesa mingi ivyo kwa siku moja. Saidia wasio nacho
Nasaidia,na bado uses ni ileileHiyo ni Anasa. Huwezi tumia pesa mingi ivyo kwa siku moja. Saidia wasio nacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe beba msosi wako kwenye kontena, nenda nao huko unakopiga kazi kuepusha kununua vyakula vya gharamamatumizi hayategemei upo peke yako au mpo family...
matumizi yanategemea kipato chako cha siku
chamuhimu ni kuwa makini tu matumizi yasizidi kipato ukajikuta umeangukia kwenye dimbwi la madeni..
lakini kusema eti utumie 1500 lunch hapana asee wengine maeneo waliyopo hakuna chakula cha bei hyo sasa wakae njaa?
Mkuu, tumia buku tano mwisho ili ibaki nyingi usaidie watu kumi badala ya watano unaowasaidia
Kwanini hawakwenda shule ?Hiyo ni Anasa. Huwezi tumia pesa mingi ivyo kwa siku moja. Saidia wasio nacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu hiyo supu ya 2500 inapatikana wapi?Sasa tunapangiana tutumie kiasi gani as if tumesaidiana kutafuta...btw nimegundua kwa chakula kwa siku simalizi 10,000
Supu chapati 2500
Lunch 4000
Dinner 3500
Total 10,000.
Sasa tunapangiana tutumie kiasi gani as if tumesaidiana kutafuta...btw nimegundua kwa chakula kwa siku simalizi 10,000
Supu chapati 2500
Lunch 4000
Dinner 3500
Total 10,000.
Wakuu,
Kusema kweli nawashangaa watu wengi sana.
Mtu unaishi peke yako, alafu unatumia Tsh 10,000 nzima kwa ajili ya msosi tu. Tena kwa ajili yako wewe mwenyewe.
Hiyo ni anasa na ufujaji wa pesa!!
Maximum kwa siku tumia 5000/- kwa siku kwa ajili ya msosi.
Buku chai, buku jero lunch, buku jero dinner, buku maji na matunda...
Tuachane na anasa, pika mwenyewe nyumbani. Na gharama haitozidi elfu 5 kwa siku kwa ajili ya kula tu.
Niite,
Mjina Mrefu
Dadadeq
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
Shida yako nini hela yakoo
Natafuta mwenyewe nakula mwenyewe
Pilipili wa kihindii wewe tuliaa wewe
Na uachee ubahiliiii tumia zikuzoeeee
Supu ya utumbo 2000/-. Chapati moja 500/-. Huko ulipo supu bei gani?Samahani mkuu hiyo supu ya 2500 inapatikana wapi?
Nataka na mimi niijaribu siku moja maana na muda sijanywa supu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakula sehemu. Kujipikia mtu mmoja its expensive and time consuming.Unajipikia au unakula sehemu?
Kama unakula sehemu tutonyane basi....nabana matumizi na hivi vijidola vyangu vya maboksi...
Nilidhani supu ya nyama Mkuu...Supu ya utumbo 2000/-. Chapati moja 500/-. Huko ulipo supu bei gani?
Siyo kweli, labda ujipikie kwa mkaaNakula sehemu. Kujipikia mtu mmoja its expensive and time consuming.
Shukrani mkuu,umejibu vyema na jinsi nilivyokabisa.Kila mtu ana budget zake mkuu tena hiyo kwa wengine ndogo sana, on my side linapokuja swala la kula naweka kipaumbele kuliko matumizi mengine.
Pia inadepend unakula nini na sehemu gani.
Huwezi kunielewa. Wewe unaangalia bei ya chakula na bei ya kilo ya unga.
Bia ni nje ya chakula. Hakuna neno.. Tunaongelea kuzidisha buku 10 msosi tuTunaziepukaje mkuu??sometimes mtu unatamani ila vigumu sana,siku unaweza kuamua Ile sato ba ugali mchana tu.
Alafu bado jioni hujashtua vibia kadhaa cha kulalia
Sent using Jamii Forums mobile app