Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Umeona kilichotokea Songwe na Musoma Leo? Endeleeni tu kuishi kwa kukariri mwaka huu ndo mtajua kuwa hamjui dadeki.Hakuna kazi kubwa na ngumu km kuwaingiza watanzania barabaran, nadhani baada ya uchaguzi LISSU atalielewa hili.
Waache watapata wanachokitaka.Umeona kilichotokea Songwe na Musoma Leo??? Endeleeni tu kuishi kwa kukariri mwaka huu ndo mtajua kuwa hamjui dadeki
Watu wamehamasika vibaya mno, hivyo ,lolote laweza tokeoa mwaka huu na tukaandika historia mpya katika nchi hii.Naiona nguvu ya social media inaenda kuandika historia mpya ya chaguzi hapa Tanzania ambao mnahisi wabongo ni waoga subilini hasa mbeya mjini
miaka 5 ya mateso,mtu anataka alazimishe wabunge na madiwani wa chama chake either washinde au wasishinde et lazima watangezwe hapana,tusipoamka nw jamaa anaenda kutunyanyasa sana miaka 5 inayokuja so hyo ck hakuna kulala aiseeWatu wamehamasika vibaya mno, hivyo ,lolote laweza tokeoa mwaka huu na tukaandika historia mpya katika nchi hii.
Nimekupata.Sasa ni kidumu cha Msimbazi tu
Huna lolote, mwenye chama mwenyewe mwoga kama kunguru ndio muwe ninyi washabiki.. Mbowe na genge lake watatumia njaa zenu kuwatanguliza, hapo ndio mtajuta. Jitekenyeni tu.Umeona kilichotokea Songwe na Musoma Leo? Endeleeni tu kuishi kwa kukariri mwaka huu ndo mtajua kuwa hamjui dadeki.
Hakuna wa kujuta. Ni Heri tuumie sisi ili vizazi na vizazi vya Tanzania vipone na udhalimu wa Ccm!Huna lolote, mwenye chama mwenyewe mwoga kama kunguru ndio muwe ninyi washabiki.. Mbowe na genge lake watatumia njaa zenu kuwatanguliza, hapo ndio mtajuta. Jitekenyeni tu.
Wananchi wako tayari kabisa yaani kama ni jipu limeiva! Wanakosa wa kuwaongoza tu! Hizi tambo za kina Ali Bananga zinatakiwa ziwekwa vitendo. Leo hii kungekuwa na mkurugenzi amegawanwa na wananchi huu ujinga usingekuwapo! Tufike mahali tuseme ile "sasa basi" iwe kwa vitendo! Leo tumeishia kusemasema tu lakini nawaambia mtiti unakuja kwenye kuruhusiwa kuingia kwenye vituo! Tutalia na kusaga meno. Tundu Lissu anatakiwa ataagiza raia siku ya kupiga kura waviteke vituo vyote mpaka mawakala waruhusiwe au kama sivyo tumgawane msimamizi mmoja ili kutoa onyo! Polisi watajigawaje kwa nchi nzima hii? Wanajeshi walishachoka lazima watakuwa upande wa wananchi!Huu ndio ukweli ambao wapinzani tunapaswa kuutafakari na kuchukua hatua sahihi. Wameengua wagombea wa upinzani tukaa kimya, wakatuchukila poa, lakini kama tungesimama imara, leo hizi figisu za kuapisha mawakala pengine zisingetokea.
Tusisahau walianza katika zile chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kisha yakajirudia katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana mwishoni, na sasa kuna kila dalili yanakwenda kujitokeza tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Kuna msemo: maneno huumba, ila leo naomba niongeze kwa kusema,"uvumilivu pia huumba/huzaa mazoea".
Tuseme enough is enough kwa vitendo.
Naona ndo unaanza kufuatilia leo chaguzi za tz eti?ukiona mbunge wa upinzani katangazwa sio lele mama watu wamepambana hii imefanyika 2010, 2015 so watu wanaongea kwa experience subiri uoneHuna lolote, mwenye chama mwenyewe mwoga kama kunguru ndio muwe ninyi washabiki.. Mbowe na genge lake watatumia njaa zenu kuwatanguliza, hapo ndio mtajuta. Jitekenyeni tu.
Magufuli ndiye Rais wa Tanzania. Kula malimao kabisaaa.miaka 5 ya mateso,mtu anataka alazimishe wabunge na madiwani wa chama chake either washinde au wasishinde et lazima watangezwe hapana,tusipoamka nw jamaa anaenda kutunyanyasa sana miaka 5 inayokuja so hyo ck hakuna kulala aisee
Kwa aina ya watu kama wewe !!. Unashangaa nini miaka 60 ya uhuru wetu nchi ni masikini ya kutupa !!.Hakuna kazi kubwa na ngumu km kuwaingiza watanzania barabaran, nadhani baada ya uchaguzi LISSU atalielewa hili.