Uchaguzi 2020 Hujuma dhidi ya CHADEMA na wapinzani kwa ujumla, ni matokeo ya uvumilivu wa wapinzani unaotafsiriwa kimakosa kama uoga

Uchaguzi 2020 Hujuma dhidi ya CHADEMA na wapinzani kwa ujumla, ni matokeo ya uvumilivu wa wapinzani unaotafsiriwa kimakosa kama uoga

Wananchi wako tayari kabisa yaani kama ni jipu limeiva! Wanakosa wa kuwaongoza tu! Hizi tambo za kina Ali Bananga zinatakiwa ziwekwa vitendo. Leo hii kungekuwa na mkurugenzi amegawanwa na wananchi huu ujinga usingekuwapo! Tufike mahali tuseme ile "sasa basi" iwe kwa vitendo! Leo tumeishia kusemasema tu lakini nawaambia mtiti unakuja kwenye kuruhusiwa kuingia kwenye vituo! Tutalia na kusaga meno. Tundu Lissu anatakiwa ataagiza raia siku ya kupiga kura waviteke vituo vyote mpaka mawakala waruhusiwe au kama sivyo tumgawane msimamizi mmoja ili kutoa onyo! Polisi watajigawaje kwa nchi nzima hii? Wanajeshi walishachoka lazima watakuwa upande wa wananchi!
Kama ulivyoongea,kinachokosekana ni kauli tu ya viongozi wa upinzani kuwaambia wafuasi wao sasa fanyeni A,B,C.Viongozi hawa nao wanajaribu kuepuka kufanya hivyo ila wanaweza kulazimishwa kufanya kinachotakiwa kufanywa kulingana na mazingira yaliyopo.
 
Viongozi wa upinzani kina nani, na upinzani upi?. Huu utopolo wa chama cha Mbowe, ambaye yeye mwenyewe kimemshinda?. Watanzania sio wajinga kama manyumbu wa Ufipa.
 
Viongozi wa upinzani kina nani, na upinzani upi?. Huu utopolo wa chama cha Mbowe, ambaye yeye mwenyewe kimemshinda?. Watanzania sio wajinga kama manyumbu wa Ufipa.
Kama nawe unajiona mTz mwenye maono sishangai elimu ya kata ilipoifikisha nchi hii. Bure kabisa
 
NEC wanawadekeza sana Chadema, Chadema lifutwe tu
 
Back
Top Bottom