Uchaguzi 2020 Hujuma dhidi ya CHADEMA na wapinzani kwa ujumla, ni matokeo ya uvumilivu wa wapinzani unaotafsiriwa kimakosa kama uoga

Kama ulivyoongea,kinachokosekana ni kauli tu ya viongozi wa upinzani kuwaambia wafuasi wao sasa fanyeni A,B,C.Viongozi hawa nao wanajaribu kuepuka kufanya hivyo ila wanaweza kulazimishwa kufanya kinachotakiwa kufanywa kulingana na mazingira yaliyopo.
 
Viongozi wa upinzani kina nani, na upinzani upi?. Huu utopolo wa chama cha Mbowe, ambaye yeye mwenyewe kimemshinda?. Watanzania sio wajinga kama manyumbu wa Ufipa.
 
Kama nawe unajiona mTz mwenye maono sishangai elimu ya kata ilipoifikisha nchi hii. Bure kabisa
 
NEC wanawadekeza sana Chadema, Chadema lifutwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…