HUJUMA: Mamilioni yatengwa kuhujumu SOKA

HUJUMA: Mamilioni yatengwa kuhujumu SOKA

Wameshindwa kumlipa mkurugenzi wao wa ufundi watapata wapi jeuri hiyo ya kutumia hela kuhonga
 
I will show you, you need to be here permanently , bring your passport here , mkuu wa mkoa mnyanganye huyo passport yake kwanza sasa hivi.
 
Mmeshaona Yanga SC inaelekea kubebwa Ubingwa kwa mara nyingine mfululizo......Mnaanza kuleta hadithi za mababu zenu..


Hapa ubingwa ni lazima. Afe Kipa afe Beki..
 
Simba wameshaona hawana uwezo wa kuchukua Ubingwa sasa wameanza kutafuta sehemu ya kufia.
Leo mmetoa draw na Mbeya city kesho Yanga anaongoza Ligi.
 
Simba wameanza kutoa povu!

WANAJUA KUWA HIZI NDIO NYAKATI ZAO ZA KUPOTEZA MECHI ZAO ZOTE ZILIZO BAKI......

ILI VIONGOZI WAO WAEPUKE LAWAMA ZA KWANINI WANAKOSA UBINGWA KILA MSIMU......HUWA WANAANZA KUTOA MADAI KAMA HAYA, BASI MSHABIKI WA SIMBA AKISOMA TU ANASAHAU KABISA KUTOA LAWAMA KWA VIONGOZI WAO NA KUANZA KUMGEUKIA MALINZI, MANJI, WAAMUZI NA WENGINEO..


HAHAHAH
 
Simba wameshaona hawana uwezo wa kuchukua Ubingwa sasa wameanza kutafuta sehemu ya kufia.
Leo mmetoa draw na Mbeya city kesho Yanga anaongoza Ligi.

Linaitwa Treni la Barafu, jua likitoka tu lenyewe linaanza kuyeyuka na kupotelea mbali...
 
Hizo hela zimetoka wapi wakati plujin kaondoka sababu ya ukata?


Duh.....hili swali akikujibu ipasavyo naomba utanisaidia kuomba namba ya simu ya yuho aliyekujibu ipasavyo....nitahitaji nimrushiepo ka'pesa ka kula kwenye Mpesa yake.....
 
Taarifa za ndani ya vigogo wa Yanga zinasema yametengwa mamilioni kuhujumu timu nyingine ikiwamo Azam na Simba ili Yanga iweze kubeba kombe la FA iweze ipate ushiriki wa michuano ya Kimataifa.

Hujuma hizo zinahusisha vigogo wazito ambao soon tutawaanika.

Fedha hizo pamoja na mambo mengine zitalipa waamuzi na wachezaji wa timu husika

Kuhujumu timu zinazoongoza -Simba na Azam

Stay tune[emoji56]
... etc = end of thinking capacity.
 
Ligi na FA wapi na wapi? Acha kudandia meli kwa mbele.
 
Back
Top Bottom