Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Jf kuna GREAT THINKERS na GREAT SINKERS.Azam inaongoza ligi gani?
Na hiki ni Kiwonder pia.Hizo hela zimetoka wapi wakati plujin kaondoka sababu ya ukata?
Simba wameanza kutoa povu!
Simba wameshaona hawana uwezo wa kuchukua Ubingwa sasa wameanza kutafuta sehemu ya kufia.
Leo mmetoa draw na Mbeya city kesho Yanga anaongoza Ligi.
Hizo hela zimetoka wapi wakati plujin kaondoka sababu ya ukata?
... etc = end of thinking capacity.Taarifa za ndani ya vigogo wa Yanga zinasema yametengwa mamilioni kuhujumu timu nyingine ikiwamo Azam na Simba ili Yanga iweze kubeba kombe la FA iweze ipate ushiriki wa michuano ya Kimataifa.
Hujuma hizo zinahusisha vigogo wazito ambao soon tutawaanika.
Fedha hizo pamoja na mambo mengine zitalipa waamuzi na wachezaji wa timu husika
Kuhujumu timu zinazoongoza -Simba na Azam
Stay tune[emoji56]
Hawezi acha kama ndio kipaji chake kama yule adui Wa gwajimapunguza umbea utaolewa