Elections 2010 Hujuma ya upigaji kura Karagwe!

Elections 2010 Hujuma ya upigaji kura Karagwe!

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
239
Habari nilizopata sasa hivi kutoka Jimbo la Karagwe, kata ya Mabira ni kwamba kuna wasimamizi wa kituo fulani wanahojiwa na polisi kutokana na wapiga kura kukuta alama ya tiki kwenye chumba chja mgombea mmojawapo. Hii ina maana ya kwamba ukiweka tiki kwenye chumba cha mgombea wako, basi kura inaharibika.

Hii ni katika ngazi ya udiwani tu, na bila shaka ni local issue -- kwani inavyoelekea baadhi ya wasimamizi wanajua wapiga kura fulani watampigia mgombea gani wa udiwani.

Nimeona bora niwahabarishe tukio hili na mwenye habari zaidi aongezee hapo.
 
Hii ishugulikiwe mapema. Sijui kama watu wamelekezwa kuchunguza karatasi hizi kabla hawajaweka tick zao?
 
Me nasubiri bifu la home Biharamulo sijui itakuwaje. Ila nimepigiwa simu na jamaa yangu amenambia jana usiku alipata sms ya vitisho kuwa chama fulani kikishindwa basi cha moto atakipata kwa maana alionekana wazi kukipinga!
 
Habari nilizopata sasa hivi kutoka Jimbo la Karagwe, kata ya Mabira ni kwamba kuna wasimamizi wa kituo fulani wanahojiwa na polisi kutokana na wapiga kura kukuta alama ya tiki kwenye chumba chja mgombea mmojawapo. Hii ina maana ya kwamba ukiweka tiki kwenye chumba cha mgombea wako, basi kura inaharibika.

Hii ni katika ngazi ya udiwani tu, na bila shaka ni local issue -- kwani inavyoelekea baadhi ya wasimamizi wanajua wapiga kura fulani watampigia mgombea gani wa udiwani.

Nimeona bora niwahabarishe tukio hili na mwenye habari zaidi aongezee hapo.

Nasikia huko Karagwe watu wamepigika mpaka wanatamani kuwa sehemu ya Rwanda
 
Vipi mulongo jama? Mpiganaji Innocent Kato ananusurika huko. Tujuze
 
Wanachi wengi wa vijijini wamepigika c karagwe tu, at least wao wana hata ndizi wanakula .Na je wale wanaoishi sehemu kama manyoni mbalimbali ikoje? Hali ya wananchi cyo nzuri kwa ujumal.Nasisi tuliopo makazini bado tunalia njaa na mkulima je? Na mvua wala hazinyeshi wala nini!!
 
Back
Top Bottom