Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Habari nilizopata sasa hivi kutoka Jimbo la Karagwe, kata ya Mabira ni kwamba kuna wasimamizi wa kituo fulani wanahojiwa na polisi kutokana na wapiga kura kukuta alama ya tiki kwenye chumba chja mgombea mmojawapo. Hii ina maana ya kwamba ukiweka tiki kwenye chumba cha mgombea wako, basi kura inaharibika.
Hii ni katika ngazi ya udiwani tu, na bila shaka ni local issue -- kwani inavyoelekea baadhi ya wasimamizi wanajua wapiga kura fulani watampigia mgombea gani wa udiwani.
Nimeona bora niwahabarishe tukio hili na mwenye habari zaidi aongezee hapo.