Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa ufanisi na hapo ndipo mali ya umma itakapouzwa kwa bei poa kwa mwarabu.
Huyu mwarabu anakuwa kama kivuli ila SGR anakuwa ameuziwa mtu wa hapa hapa nchini kutoka familia fulani tuwe macho wabongo tusipende kuangalia mambo kwa juu juu.
Huyu mwarabu anakuwa kama kivuli ila SGR anakuwa ameuziwa mtu wa hapa hapa nchini kutoka familia fulani tuwe macho wabongo tusipende kuangalia mambo kwa juu juu.