kuna mikataba tuliambiwa imeingiwa ya siri zaidi ya 40 haijulikani na SGR imo humo? maana ni siriHalafu huyo mtu analindwa kwa nguvu zote.
Lione nalo hili!Endapo wakiuza kwa mwarabu itafanya kazi kwa ufanisi kwa gharama inayokubalika(affordable), bora wampe haraka sana.
hiyo ni mipango mnaandaliwa kisaikololojia akishaichukua mwekezaji anaamua yeye kila kitu nauli yeye na huduma inaweza hata kufa unakumbuka zama za mwekezaji wa RELI TRL kutoka India enzi za Jakaya?Unaweza kusema inahujumiwa, Kumbe ni kwamba we are simply incompentent & Uncivilized Society
Tulia.Tupo kwenye vita ya "kiuchumi"!Kila makalio ya ngedere anasingizia vita ya uchumi.Uchumi unagombea na nani?USA? Malaysia?Chile?Guadalop?Mijinga Tu.Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa ufanisi na hapo ndipo mali ya umma itakapouzwa kwa bei poa kwa mwarabu.
Huyu mwarabu anakuwa kama kivuli ila SGR anakuwa ameuziwa mtu wa hapa hapa nchini kutoka familia fulani tuwe macho wabongo tusipende kuangalia mambo kwa juu juu.
Serikali haijawahi kufanya biashara ikafanikiwa!!Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa ufanisi na hapo ndipo mali ya umma itakapouzwa kwa bei poa kwa mwarabu.
Huyu mwarabu anakuwa kama kivuli ila SGR anakuwa ameuziwa mtu wa hapa hapa nchini kutoka familia fulani tuwe macho wabongo tusipende kuangalia mambo kwa juu juu.