Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kilichotokea Kenya kikaua KANU kinakwenda kutokea Afrika Kusini. ANC imemeguka makundi kama ambavyo KANU ilimeguka kisha ikafa.
Kifo cha KANU Kenya kilizalisha mapinduzi makubwa kisiasa na kiuchumi. Kupitia kifo cha KANU;
1. Walipata katiba nzuri
2. Wakapata tume huru ya uchaguzi
3. Wakapata mifumo huru ya kusimamia uchaguzi inayoendana na ya ulimwengu wa kwanza
4. Wakapata uhuru wa kisiasa ambapo hakuna mwanasiasa anayeamini kwenye chama, wanaamini kwenye sera
Haya manne kwetu Tanzania hakuna. Badala yake kila anayetaka kuongoza lazima awe chawa wa Mwenyekiti.
Tumeona Zuma na Malema wanavyonunua uhuru wao wa kisiasa South Afrika na sasa kinakwenda kuundwa serikali yapamoja kama ilivyo Zanzibar.
Kwa yaliyotokea S. Africa napata mashaka kama CCM itakubali kuingia kwenye Uchaguzi wa Ushindani.