Mfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla.
Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi.
Kule Kenya Mfalme huyo amejutia yale yaliyowasibu wakenya wakati wa Kupigania uhuru wao na huku Tanzania tunaambiwa Rais huyo anaenda Songea Mkoani Ruvuma na atatembelea kumbukumbu ya mashujaa wa vita vya majimaji.
Na nasikia kwa ziara hii pia itawezesha kurudiswa kwa masalia ya mshujaa wetu yaliyo hifadhiwa kwenye makumbusho yao huko Ujerumani.
Sasa kwa ziara hizi mbili kuna kitu gani kinaenselea?
Isije iakawa.