Au wanataka kurudi kinamna ?Wahuni tuu hao. Wakoloni mamboleo
Sisi tunaenda kuomba.Mbona wa ki Afrika kila kukicha wamo ulaya, Asia na US!! Mkuu hili hulioni?!!
Western Europe kuna lasilimali watu , hawana rasilimali ghafi, vise versa is True ππ, Africa (Dark Continent) halina rasilimali watu ila lina rasilimali ghafiMfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla.Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi.Kule Kenya Mfalme huyo amejutia yale yaliyowasibu wakenya wakati wa Kupigania uhuru wao na huku Tanzania tunaambiwa Rais huyo anaenda Songea Mkoani Ruvuma na atatembelea kumbukumbu ya mashujaa wa vita vya majimaji.Na nasikia kwa ziara hii pia itawezesha kurudiswa kwa masalia ya mshujaa wetu yaliyo hifadhiwa kwenye makumbusho yao huko Ujerumani.
Sasa Kwa ziara hizi mbili kuna kitu gani kinaenselea ? Isije iakawa.................
Tunahitaji kujitambua, kwa nyakati hizi wazungu wanatuhitaji kihalisia kuliko tunavyowahitaji.Wahuni tuu hao. Wakoloni mamboleo
Hakika, maendeleo yao ya technology ni useless bila rasilimali. Na kwa wingi zinatoka Africa, hivo tukiweka mikakati dhabiti nakuwa wamoja Africa nihakika sisi ndio tutakuwa supplier wao. Nadhani mpango unaendelea wa free trade agreement nao nitishio kwao.Tunahitaji kujitambua, kwa nyakati hizi wazungu wanatuhitaji kihalisia kuliko tunavyowahitaji.
Hata hivyo, kwa kuwa ssilimia kubwa ya wanasiasa wetu ambao ndiyo viongozi, ni watu wenye kupenda dezo na fikra tegemezi zenye kujikomba kwa wageni, mwafrika bado ataendelea kuteseka.
Maendeleo ya teknolojia kwa sasa yanaweza kuyasaidia zaidi mataifa yanayoendelea zaidi kuliko yaliyoendelea.
Africa ina rasilimali watu na malighafi, ilichokosa ni uongozi bora.Western Europe kuna lasilimali watu , hawana rasilimali ghafi, vise versa is True ππ, Africa (Dark Continent) halina rasilimali watu ila lina rasilimali ghafi
Rasilimali watu na watu ni vitu viwilii tofauti Afrika kuna watu tuAfrica ina rasilimali watu na malighafi, ilichokosa ni uongozi bora.
Waafrika wanatakiwa wapambane kusafisha viongozi wajinga na waovu.
Rasilimali watu ipo, Ila fikra za kitumwa za kuabudu wazungu na wageni ndiyo tatizo.Rasilimali watu na watu ni vitu viwilii tofauti Afrika kuna watu tu