Huko FB wananchi wanafurahia kifo cha Kamishina wa polisi. Taifa limefikia pabaya sana.

Chanzo cha yote haya ni askari polisi na vyombo vingine vya usalama vyemewe. Taifa hali umoja, ila kwakuwa tunaishi kinafki tunaonekana kama tumeshikamana
Huu mpasuko runs so deep, ni suala la muda tu uta surface. Too bad wanadhani wanaweza ponya mioyo ya watanzania kwa ku kuteka na kubambikizia kesi
 
Huu mpasuko runs so deep, ni suala la muda tu uta surface. Too bad wanadhani wanaweza ponya mioyo ya watanzania kwa ku kuteka na kubambikizia kesi
Vijana mlionwa mentor wanasemaje ? Ukweli hali mbaya, jamii imejigawa vyombo vya ulinzi vimejigawa.. Zimwi la hofu wanalotengeza linaelekea kushindwa na kuzoeleka, na ndipo phase nyingine ianze ya damu kwa damu uso kwa uso
 
VIjana hawaelewi kabisa. Unlike enzi zetu. Vijana hawana fikra za adumu mwenyekiti

Vijana wanataka mambo yaliyonyooka, watawala bado wanakaza fuvu.

Next phase ikianza kufanya kazi hawa wanaokaza fuvu ndio watakao omba huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…