Huko FB wananchi wanafurahia kifo cha Kamishina wa polisi. Taifa limefikia pabaya sana.

Chanzo cha yote haya ni askari polisi na vyombo vingine vya usalama vyemewe. Taifa hali umoja, ila kwakuwa tunaishi kinafki tunaonekana kama tumeshikamana
Na wakishangilia inakuwaje? Maiti inaahindwa kuzikwa? Na aliyeshangilia yeye hatakufa? Au ndio matatizo ya Afya ya Akili hayo? Ahahahahaha!!
 
Kutumika kwao kwa maslahi ya wanasiasa wachache kumefanya taasisi hiyo kuchukiwa na walio wengi kwa kiwango kikubwa

Anyway apumzike anapostahili
 
Mtu anakufa watu wanafurahia👇
Nawe tumia akili badala ya makalio, sema wahalifu wafurahia. Pili uelewe JF imejaa wale nyumbu wafuasi wa chadema wakifanya siasa za kishamba, za majitaka, siasa za kitoto, hao ni wa kupuuzwa. Halafu maisha ya humu mitandaoni yaache humu hayana uhalisia mitaani. Hata hiki ulichoandika kinabaki humu JF km hisia zako, uwongo wako lakini uraiani maisha ni tofauti
 
****** wa mama yako.
 
Majinga sana. Yaliuwa vijana wa Tanganyika yakidhani hayatakufa. Yafe tu mashetani hayo yasiyo na huruma . Very stupid idiots.
 
Tulia wewe sajenti Kitundu, hakuna mtu anaewakubali na mwisho wenu mbaya sanaa, kikosi kimejaa waliofeli form 4 majinga tuu cheki kota zenu mnazoishi 😂

Mwanangu akitaka kua polisi namlaani
 
Huwa hata sishangai Wala kuhangaika na comments za minyumbu iliyopangwa. Askari wataendelea kufanya kazi yao tukufu bila kijali hawa wangese, waitwao manyumbu wanatukana vipi na kusema nini'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…