Huko Kenya jeshi linakaribia kuwaunga mkono waandamanaji. Mageti ya bunge yamevunjwa na waandamanaji wapo ndani ya bunge wanafanya chochote watakacho

Huko Kenya jeshi linakaribia kuwaunga mkono waandamanaji. Mageti ya bunge yamevunjwa na waandamanaji wapo ndani ya bunge wanafanya chochote watakacho

Tanzania hamjawai sababisha hasara hata ya wembe ila bado uchumi wenu na kenya ni mbigu na Ardhi.
Umeshawahi kufika Kenya na kuona maisha ya wananci walkio wengi??
Usidanganyike na takwimu za mitandaoni. Uchumi wa Kenya unamilikiwa na walowezi wachache akina Kenyatta na walowezo wa Kizungu. Wakenya wengi hali yao ni duni. Kenya raia ni full manamba maana ardhi yote ipo mikononi wa walowezi wachache. Uchumi wa raia walio wengi wa Tanzania ni bora mara mia kuliko uchumi wa wakenya walio wengi.
 
Sio tu kufika,ninazaidi ya kufika kenya.
We uliwaifika Tanzania?.
Nisijekuwa ninajadiliana na Mtu anaeishi Eldorado,hazijui Kenya na Tanzania vizuri.

Unataka tusitumie takwimu,sawa.umeweka ama unapendekeza nini kitumike mbadala wa Takwimu ikiwa takwimu si kitu sahihi kukitumia?.
Kenya ina uchumi mkubwa Africa mashariki.
Ina health care bora kabisa,uenda ni ya tatu ama nne Africa.
Hata marais wenu uenda kenya kukata Moto uko wakiugua maana Tanzania hakuna kitu.
Ukija kwa upande wa Elimu Waganda wanaweza kuwa nafasi ya pili wakiifuata kenya, Tanzania nini bora kilichopo?.
 
Tanzania kwa nini tunaishangilia Kenya tu ilhali sisi ndio tuko hoi zaidi.? Huu ujinga wa kuunga mkono watawala tutaachana nao lini..⁉️
 
Back
Top Bottom