let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Tanzania hamjawai sababisha hasara hata ya wembe ila bado uchumi wenu na kenya ni mbigu na Ardhi.Uongozi mzuri ni wa kifalme huu wa democracy ni ujinga sana. Hasara walioisababisha garama za maisha zitapanda zaidi
Umeshawahi kufika Kenya na kuona maisha ya wananci walkio wengi??Tanzania hamjawai sababisha hasara hata ya wembe ila bado uchumi wenu na kenya ni mbigu na Ardhi.
Sio tu kufika,ninazaidi ya kufika kenya.Umeshawahi kufika Kenya na kuona maisha ya wananci walkio wengi??
Usidanganyike na takwimu za mitandaoni. Uchumi wa Kenya unamilikiwa na walowezi wachache akina Kenyatta na walowezo wa Kizungu. Wakenya wengi hali yao ni duni. Kenya raia ni full manamba maana ardhi yote ipo mikononi wa walowezi wachache. Uchumi wa raia walio wengi wa Tanzania ni bora mara mia kuliko uchumi wa wakenya walio wengi.
Ifike muda pia serikali ithamini vyombo vyake vya dola hao polisi wana nguvu ya kutosha kudhibiti maandamano ila wamejifanya kama wameshindwa hivi ili adhma itumie kwani wanachopigania raia kina faida na kwao askari.
Gharama zinapanda halafu mishahara ya askari ipo chini unategemea nini hapo!?