Huko kwenu vipi kuhusu discontinuity

Huko kwenu vipi kuhusu discontinuity

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Leo nimepigiwa simu na mtu anaye soma pale SUA yeye anasoma bsc.ya forest...akaniuliza hivi chuoni kwenu mtu anaweza disco semister ya kwanza kama hata fikisha wastani wa chuo?

Mimi nikamjibu kwa kweli mimi sijui kwa huku kwetu sijaona najua semister ya pili ndo disco inapotokea na kwa huku chuoni kwetu ipo hivyo! Akasema basi sahizi amerudi SUA Na amekuta watu wamesha fungishiwa mabegi yao kwamba wamesha disco!

Nikamuliza ni wangapi akasema kwa kozi yake ameshawasiliana na wanafunzi 5 ambao teari wamedisco so kuna wengine wengi na bado kozi zingine hiyo ni semister ya kwanza!

Akasema pia hapa mwaka wa kwanza unapo fikia tu kabla hujakaa sawa unafanya mtihani wa kingereza lengo ni kuwa kuna wengine wanaenda chuo hawajui kingereza usipo fikisha 50% basi utasoma kingereza kama kozi! Nimeshangaa

Shikamoo SUA!
Kamwene SUA!

Nawasalimu SUA!
 
Mkuu,huo sio utaratibu wa SUA tu,vyuo vingi bila kujali kama ni semester ya kwanza,ngoma nne zikiingia nyavuni tu kwa semister hyo,i.e kama hujafikisha wastani kwa masomo manne mfululizo,unaliwa kichwa,nina mshkaji wng last year aliliwa kichwa chuo cha saint nn sijui kile kilicho mbezi mwisho hadi mwaka huu akaomba adailiwe chuo kingine na kapata,sasa hv ubitoz kaacha anapiga msuli balaa
 
Kinacho watimua wengi semester ya kwanza pale SUA ni number of credits.

SUA kila semester unatakiwa kuwa na credit 12 au 8, wakitaka kwa mwaka uwe na credit 24/16.

Ili usidisco basi unatakiwa uwe at least uwe na uwezo wa kuwa na credit hizo 16, na bahati mbaya wengi wa wanafunzi, ugeni wa Chuo na vitisho vya msuli wa SUA basi wanaishia kufeli semester ya kwanza.

Aliefeli semester ya kwanza inamaana amepiga hesabu akagundua hana uwezo wa kufikisha credit 16, it means semester ya kwanza amesup masomo kibao.

Nb. SUA ni Chuo cha kawaida Sana, unatakiwa ujue kucheza rhythm yao.
 
Kitu cha msingi vyuo vikuu kudisko ni kitu cha kawaida kutokea. Kila mwana watu wan a disco labda vyuo vikuu binafsi, ndio watu watakuwa wanapeta
 
Kudisco semister ya kwanza

Inawezakana Kama credit za semester ya kwanza ni pungufu sana kiasi kwamba,kwa idadi ya courses za semester ya pili, hutaweza kufikisha credit hour 24 ukirudi semester ya pili ili kukamilisha CH zinazohitajika kwa mwaka, ili uendele na mwaka wa pili.

Probability inaweza kuwa;

Either credit hour hazitatosha
Ukijumlisha na semester ya pili

ama utalazimika kuchukua courses nyingi sana ili kufidia kitu ambacho kiko nje ya uwezo wako, na ukizingatia ugumu wa courses zenyewe.

Hapa Utashauriwa uache chuo. Ni kwamba umedisco .ili Uanze mwakani.
Ama uandike barua ya kuomba kurudia mwaka ama fani nyingineyo.
 
Inawezekana,sasa kama mtu kati ya kozi 6 au 7 una supp kuanzia 4 unategemea semister ya pili utafanya muujiza gani utoboe?
 
wewe wasema, kuna chuo hata uwe na sup 5 unaendelea kusoma
 
Mkuu,huo sio utaratibu wa SUA tu,vyuo vingi bila kujali kama ni semester ya kwanza,ngoma nne zikiingia nyavuni tu kwa semister hyo,i.e kama hujafikisha wastani kwa masomo manne mfululizo,unaliwa kichwa,nina mshkaji wng last year aliliwa kichwa chuo cha saint nn sijui kile kilicho mbezi mwisho hadi mwaka huu akaomba adailiwe chuo kingine na kapata,sasa hv ubitoz kaacha anapiga msuli balaa

Hahahahahaa umeniuaa mbavuu ubitoz kaachaa uongooo!!! St joseph wahindii siwazuriiii
 
haaa sup 5 zote izo…. .kwel watu mnatongozana sana, someni jamani ohooo… tetea bumu lako kwauwepo wako chuoni,
 
Nakumbuka kipindi nafanya application watu wengi walinionya nisichague SUA sikujua kwanini,dah poleni sana wanasua komaeni mtatoka mana hiko chuo kinaheshima kubwa.
 
Leo nimepigiwa simu na mtu anaye soma pale SUA yeye anasoma bsc.ya forest...akaniuliza hivi chuoni kwenu mtu anaweza disco semister ya kwanza kama hata fikisha wastani wa chuo?

Mimi nikamjibu kwa kweli mimi sijui kwa huku kwetu sijaona najua semister ya pili ndo disco inapotokea na kwa huku chuoni kwetu ipo hivyo! Akasema basi sahizi amerudi SUA Na amekuta watu wamesha fungishiwa mabegi yao kwamba wamesha disco!

Nikamuliza ni wangapi akasema kwa kozi yake ameshawasiliana na wanafunzi 5 ambao teari wamedisco so kuna wengine wengi na bado kozi zingine hiyo ni semister ya kwanza!

Akasema pia hapa mwaka wa kwanza unapo fikia tu kabla hujakaa sawa unafanya mtihani wa kingereza lengo ni kuwa kuna wengine wanaenda chuo hawajui kingereza usipo fikisha 50% basi utasoma kingereza kama kozi! Nimeshangaa

Shikamoo SUA!
Kamwene SUA!

Nawasalimu SUA!

Mtoa Uzi inaonekana Hata SUA hupajui pako hivi!

Mwanafunzi inatakiwa usiwe na Below GPA 2.0 Kwa mwaka unaweza kukamatwa masomo hata matano ukawa na GPA ya 1.3 utaruhusiwa kuendelea Na Second semester Ambapo katika semester inatakiwa upate At least GPA ya 2.7 ili kufidia ile ya 1.3 ifike GPA ya 2.0 hapo ndipo utaruhusiwa Kufanya Supplimentary zako GPA 2.0 inatakiwa uwe nayo kabla ya kupiga Sup kifupi ndo hivyo na Sup hata upate 97% Utawekewa 'C' Na passmark ya SUA ni 50 hiyo ndiyo C vyuo kama IFM ni uzembe wa mtu kufeli kwani ukipata 55,56,58 eti hizo ni B lakini SUA hizo ni C
 
uko havard au oxford mkuu wangu?
 
wewe wasema, kuna chuo hata uwe na sup 5 unaendelea kusoma

lakini kiuhalisia,sup 5 kati ya kozi 6 hapo ni umedisco tu,maana kama una sup 5 gpa nayo itakua ni kama 0.5,asa hapo utatokaje kwa semister ya pili?
 
Back
Top Bottom