Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Umeonaee ila kanipa hofu akijaribu kujirusha basi ujue zawadi yetu tumeshaikosa.Tehteh naona mkuu Mndali ndanyelakakomu ameshuka kwenye baisko kahamia kwenye toroli sijui anaenda wapi?? Au ndo kutujazia maparachichi na mananasi kule tukuyu??
Hahaaaa