Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kabisa hata usipojua njia ya kwenda sehemu unaelekezwa ila ni lazima ulipie.Mkuu mjini nitakaa wiki moja tu halafu nirudi kijini kwetu maana nasikia mjini kila kitu mnanunua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa hata usipojua njia ya kwenda sehemu unaelekezwa ila ni lazima ulipie.Mkuu mjini nitakaa wiki moja tu halafu nirudi kijini kwetu maana nasikia mjini kila kitu mnanunua
Duuh hiyo bill
Wameondoka wemeenda jukwaani kwaoWale wajukwaa moja wapoo
Hahahaaa! Hutaki mchezo mchezo mwenyewe.teh teh mambo ninayoyapenda hayo shemela acha nijiagizie
Naona Leo upo kwaajili ya kukatisha tamaa watumahondaw achana nae tu
Nimeahirisha nimegundua wengi hampendi nipate matatizoIangalie tu mumy. Tutasikitika endapo atafanya maamuzi aliyoyakusudia mana sidhani kama kinywa kitabaki na meno.
Haswaa! Mana kila tukikumbuka vile vijizawadi hatutaki hata ujaribuNimeahirisha nimegundua wengi hampendi nipate matatizo
Nataka nifike dar unanisaidieje maana mi mgeni nitalipa kiasi gani kuelekezwa maana unataka kutembelea sehemu nyingi kama vile kariakoo, mbagala, postal, tegeta,Kabisa hata usipojua njia ya kwenda sehemu unaelekezwa ila ni lazima ulipie.
Nimeamua nirudishe baskeli yangu maana nimesha unga pacha tayariHaswaa! Mana kila tukikumbuka vile vijizawadi hatutaki hata ujaribu
Ngoja waje wenyeji mana mi hata sipajui huko napasikia tu kwa watuNataka nifike dar unanisaidieje maana mi mgeni nitalipa kiasi gani kuelekezwa maana unataka kutembelea sehemu nyingi kama vile kariakoo, mbagala, postal, tegeta,
Hahahaaa! Bora aiseeNimeamua nirudishe baskeli yangu maana nimesha unga pacha tayari
Sawa mkuu nadhani nikitoka dar nitarudi huku kijijini kama shujaa maana naogopa kuibiwa tuhela twangu twa shambanNgoja waje wenyeji mana mi hata sipajui huko napasikia tu kwa watu
Sawa mkuu asante kwa kunipa tahadhari mapemaHahahaaa! Bora aisee
nimegundua kitoroli [emoji23] cha kubebea matunda yao kutoka tukuyuUmegundua nini mkuu ?
Mkuu acha niendelee kunywa jamaanDuuh hiyo bill
he he Emmy niache acha ninywe nikimaliza nitatubuHahahaaa! Hutaki mchezo mchezo mwenyewe.
Ila hako kaofa kangenoga ile wiki inayokuja
[emoji23][emoji23][emoji23] nan mwingine nimemkatisha tamaaNaona Leo upo kwaajili ya kukatisha tamaa watu
Nimeona wananionea Huduma nimeona niwekee begi langu la kusafirianimegundua kitoroli [emoji23] cha kubebea matunda yao kutoka tukuyu
tutakupeleka [emoji23] si una kamba mguuniNataka nifike dar unanisaidieje maana mi mgeni nitalipa kiasi gani kuelekezwa maana unataka kutembelea sehemu nyingi kama vile kariakoo, mbagala, postal, tegeta,
Tupia kapicha ya hako kakinywajiMkuu acha niendelee kunywa jamaan