Umeonaee ila kanipa hofu akijaribu kujirusha basi ujue zawadi yetu tumeshaikosa.Tehteh naona mkuu Mndali ndanyelakakomu ameshuka kwenye baisko kahamia kwenye toroli sijui anaenda wapi?? Au ndo kutujazia maparachichi na mananasi kule tukuyu??
Bado nazulula huku kwa kina mahondaw!!ww si uje tu sasa hivi kuna tatizo gan
bas endelea kuzulula ukimaliza utawajulisha kwa mda wakoBado nazulula huku kwa kina mahondaw!!
hahaha si utafute wako ambae yupo peke yakeMahondaw Mimi nakutafta kwa gharama yoyote ile!!! Mimi mwenyewe ni mwanaume wa ukweli mwenye sifa zote!;??
Hapana mkuu hapo nitakuwa salama kabisaSijambo aisee.
Nikikumbuka ile zawadi yetu ya matunda ya pasaka uliyotuahidi na mahondaw napata hofu na hiyo picha mana isije ikawa ahadi hewa.
Mimi nataka wa ushindani kama huyu!!hahaha si utafute wako ambae yupo peke yake
Imebidi niangalie avatar yako wanayoisema Emmy na mahondaw [emoji23]Hapana mkuu hapo nitakuwa salama kabisa
Nashukuru kama mzima hivi najiaanda wiki ijayo ndo nitoke huku porini
Sitaki kuamini aisee.Hapana mkuu hapo nitakuwa salama kabisa
Nashukuru kama mzima hivi najiaanda wiki ijayo ndo nitoke huku porini
teh teh mambo ninayoyapenda hayo shemela acha nijiagizie
mahondaw achana nae tuMimi nataka wa ushindani kama huyu!!
Sijaona chochote cha kumjibu love... Nina muda wa kuangalia ya maana tu kuliko kujibizana na watu...Smart911 mylove would you like to answer this question ya mkubhi??
I don't know what to tell him
Mkuu hilo la kubebea maparachichi maana baskeli imepata pachaTehteh naona mkuu Mndali ndanyelakakomu ameshuka kwenye baisko kahamia kwenye toroli sijui anaenda wapi?? Au ndo kutujazia maparachichi na mananasi kule tukuyu??
Acha kunikatisha tamaa... Now am on tha way to follow mahondaw!!mahondaw achana nae tu
Iangalie tu mumy. Tutasikitika endapo atafanya maamuzi aliyoyakusudia mana sidhani kama kinywa kitabaki na meno.Imebidi niangalie avatar yako wanayoisema Emmy na mahondaw [emoji23]
Mkuu mjini nitakaa wiki moja tu halafu nirudi kijini kwetu maana nasikia mjini kila kitu mnanunuaSitaki kuamini aisee.
Karibu mjini ila uwe makini usije ukapotea
Umegundua nini mkuu ?Imebidi niangalie avatar yako wanayoisema Emmy na mahondaw [emoji23]