Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ooooh hapo sawa [emoji23]Usikate tamaa maana nategemea ninavyo toka huku naenda kuuza mazao ndo nitajaza humo kwa hiyo nikija hapo dar ni full matumizi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooooh hapo sawa [emoji23]Usikate tamaa maana nategemea ninavyo toka huku naenda kuuza mazao ndo nitajaza humo kwa hiyo nikija hapo dar ni full matumizi tu
[emoji23][emoji23][emoji23] kiduchu tuHahahaaa! Isizidi kipimo basi usije kesho ukashindwa kuamka
siku ukitoa yako nitakutumia kapicha [emoji23]Nimemwomba kapicha ndo amegoma kisa sija toa of a mimi
[emoji23][emoji23][emoji23] bora shost umemueleweshaNakubaliana naye kabisaa! Siku zote kapicha hakanogi kama hujagharamikia kinachonywewa.
[emoji23][emoji23] kukutembeza kila sehem mpk na hela utakua tajiri sana yaan mambo ninayoyapendaNinasubiri anijibu atanifanyia bei gani kunipeleka kila nitako taka kwenda kupafahamu
HahahahhhSawa mkuu maana mi nilitaka kujua kinywaji cha mjini maana kuna vinywaji huwa navisikia kwenye redio tu
Jamaan [emoji23][emoji23]Sawa hata kama wamejaa aniambie tu watanifanyia bei gani hata yeye akiwa dalali sio mbaya
Sitawaangusha mkuuLol sitaki kuamini kama mkuu atatuangushaa
Kwa jinsi navyopenda juice ya parachichi Nzito na pasheni jamani lol
Sawa mkuuhahahhh subili ufike mjini uone kwa macho
Hahahaaa! Huwezi kuamini nilishanunua mashine ya kusagia juiceLol sitaki kuamini kama mkuu atatuangushaa
Kwa jinsi navyopenda juice ya parachichi Nzito na pasheni jamani lol
Sawa abiria chunga mzigo wako japo upo kwenye buti
Hapo sawa[emoji23][emoji23][emoji23] kiduchu tu
Au tenda waitaka eee
Sio tajiri ila nataka kutolewa ushamba na najua utakuwa umeacha kazi zako za kukuingizia kipato na Mimi nitakulipa kama sehemu ya asante[emoji23][emoji23] kukutembeza kila sehem mpk na hela utakua tajiri sana yaan mambo ninayoyapenda
Sawa mkuu kesho natoa Mimi ofasiku ukitoa yako nitakutumia kapicha [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuuWala simchungi kwa sababu mahondaw siyo mzigo... Ni binadamu, mwanamke mzuri mrembo...