Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Mkuu Leo Avatar Yako Oops 💘maneno haya sio mapya hapa JF labda kwa waoga, tushazoea hii labda useme lingine
Hehe!Kuzaa sio dhambi..ni jukumu la Kila mwanamke.unabaki uamuzi wake tu.
Kulea mtoto mwenyewe factors zipo nyingi zilizosababisha wakatengana.
Wakati mkikazana kuwasinmanga wanawake kwanini wanalea wenyewe,tumieni pia energy hiyohiyo kuwajadili wanaume wenzenu kwanini wanatungisha mimba Kisha kukwepa majukumu.hakuna baba mwenye akili timamu anaekataa damu yake na kuitelekeza.wanaume timamu wameumbiwa akili za kuyakabili majukumu.hata mwanamke awe mbaya vipi
Natumai mtapata jibu.
sio leo tu ila ilikuepo hii kabla ya hiyo niliyo itoaMkuu Leo Avatar Yako Oops 💘
😂😃🤪😂😀😄😄😂😂😃🤪💋Mshono Unaitwaje Huo Ama Ndiyosio leo tu ila ilikuepo hii kabla ya hiyo niliyo itoa
mi hata sijui mwanakwetu nimeokota tu pic huko nje nikajiwekea labda ujaribu ku Google😂😃🤪😂😀😄😄😂😂😃🤪💋Mshono Unaitwaje Huo Ama Ndiyo
"Do For Love "
kwanza kwanini uniwekee tu lips twekundu na tu imoj twa kunikonyeza😅😂😃🤪😂😀😄😄😂😂😃🤪💋Mshono Unaitwaje Huo Ama Ndiyo
"Do For Love "
masingo mama yameanza kuja moja baada ya lingine,haya mama umesikika..another one?Kuzaa sio dhambi..ni jukumu la Kila mwanamke.unabaki uamuzi wake tu.
Kulea mtoto mwenyewe factors zipo nyingi zilizosababisha wakatengana.
Wakati mkikazana kuwasinmanga wanawake kwanini wanalea wenyewe,tumieni pia energy hiyohiyo kuwajadili wanaume wenzenu kwanini wanatungisha mimba Kisha kukwepa majukumu.hakuna baba mwenye akili timamu anaekataa damu yake na kuitelekeza.wanaume timamu wameumbiwa akili za kuyakabili majukumu.hata mwanamke awe mbaya vipi
Natumai mtapata jibu.
Punguza mdomo! Huwalishi single maza ww mpaka mishipa ikusimame namna hiyo!masingo mama yameanza kuja moja baada ya lingine,haya mama umesikika..another one?