Hii utaambiwa wee ni Simp, wee subiri uone hapa. LolKwanini tusichukue muda kutafakari kwanini watu wanakimbia damu zao badala ya kuwanyooshea vidole dada zetu? Mimi naona kama mtu hayuko tayari kisaikolojia kuishi na mwanamke apige tu nyeto kuliko kusababisha matatizo na kukimbia. Mwanaume yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa mwanamke yeyote kuishi naye inahitaji akili na busara za hali ya juu.. anapoongezeka mtoto majukumu nayo huongezeka. Watoto wana gharama ndogondogo za kushtukiza tangia wakiwa tumboni. Huko tuendako watabaki wanaume wachache sana wanaoweza kuishi na wanawake kwa hali ilivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo tunaliona sisi baadhi ya wanaume, sio wao ndo maana idadi yao inaongezeka. Nadhani ni wakati wa kutoka kwenye kichaka cha kuamini kuwa wanawake hawapendi kuwa single mother, kwamba wanapenda ndoa na majukumu ya kumlea mume. Ukute hawataki ni vile ni aibu tu kusema wazi.
Hakuna muoaji siku hiziHuko maofisini wadada wengi ni masingle mama. Nazungumzia hawa madada wanaojiita “corporate dadaz”
Wengi wao wamezalishwa na kuachwa na wanaume wakilea watoti wao wenyewe.
Hali inazidi kuwa mbaya, idadi hii inaongezeka siku hadi siku. Lazma wakubali kuna tatizo sehemu.
Je tatizi hilo ni lipi?
Inawezekana wanaume tunajidanganyaga sana kuwa mwanamke anataka kuwa mke afue, apike, atoe kwa mtu mmoja tu ndo maana tunajivika umwamba tukitembea na mke wa mtu kumbe ukute wenyewe ndo huwa wapo mawindoni kutimiza mahitaji yao na wanapenda kubadili ladha.Hao ma single maza ndo wanatusaidia kutupa utelezi tukiwa mbali na home..unalikuta ofsin ama kwenye biashara yake unaimbisha unakua unajilia kitu safi kabisa mpaka unasepa
Una hoja ya msingi sana.
Wakina nani walikuwa na lengo kupunguza idadi ya watu?Naona ni baada ya kile kikao chao cha Beijing ndio matunda yenyewe. Walikuwa na lengo lakupunguza idadi ya watu kwa kuvunja unit kuu ambayo ni familia. Back in the day mama walizaa watoto 5+ sasa ni wawili au mmoja, mama akifikiria malezi hatamani kuongeza mtoto.
Anyway nadhani hii haijatokea bahati mbaya. Family ni kitu chema (nuclear family) mtoto anakuwa na malezi balanced imagine single mama anamlea mtoto wakiume peke yake mtoto kunakitu tu ata-miss.
Wanawake wengi hawataki kuwa single mothers, wengi huwa wanazaa tu bahati mbaya bila kupanga.Tatizo tunaliona sisi baadhi ya wanaume, sio wao ndo maana idadi yao inaongezeka. Nadhani ni wakati wa kutoka kwenye kichaka cha kuamini kuwa wanawake hawapendi kuwa single mother, kwamba wanapenda ndoa na majukumu ya kumlea mume. Ukute hawataki ni vile ni aibu tu kusema wazi.
☺️☺️☺️Dear nimemic hii energy yako, unanikoshaga sana.
Wao wenyewe wakiona unasema hali ni mbaya wanakushangaaHuko maofisini wadada wengi ni masingle mama. Nazungumzia hawa madada wanaojiita “corporate dadaz”
Wengi wao wamezalishwa na kuachwa na wanaume wakilea watoti wao wenyewe.
Hali inazidi kuwa mbaya, idadi hii inaongezeka siku hadi siku. Lazma wakubali kuna tatizo sehemu.
Je tatizi hilo ni lipi?
Kipenzi kwenye maisha haya kila mtu anajua anachotaka. Kama anachotaka kipo kwa kiben ten shida iko wapi?Ila sometimes hata hao wanawake wako wrong, una muacha mzazi mwenzio, unakua single ili kulea kibenteni na king'asti hii nini sasa? Lol
Sasa kama unajua mtu jambo limempata bahati mbaya ukimsimanga ndio itabadilisha nini?Wanawake wengi hawataki kuwa single mothers, wengi huwa wanazaa tu bahati mbaya bila kupanga.
Hata mimi naamini hivi ila kwa mazingira ya dunia ya sasa hapana, naanza kuwa na mashaka, kuna idadi kubwa ya wanawake wanataka uhuru wa familia na mwanaume hatoi huo uhuru.Wanawake wengi hawataki kuwa single mothers, wengi huwa wanazaa tu bahati mbaya bila kupanga.
Ili wanawake wasiotaka mimba na hawawezi kuvumilia kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa wawalazimishe wanaume kuvaa condom au watumie njia zao za uzazi wa mpango kama vidonge, njiti, sindano n.kSasa kama unajua mtu jambo limempata bahati mbaya ukimsimanga ndio itabadilisha nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] naogopaaa atiii, nilivyo jeurii, nitakujibu vibaya, nijikute Bisu liko tumboni, na mwili umekatwa vipande vipande. Nimetupwa. Msamala, ruhuwiko na mateka.Kesi yangu mimi na wewe bado haijaisha coca. [emoji16]
[emoji8][emoji8][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Wanaume hawataki kuamini, ila huuu ndio uhalisia.Hata mimi naamini hivi ila kwa mazingira ya dunia ya sasa hapana, naanza kuwa na mashaka, kuna idadi kubwa ya wanawake wanataka uhuru wa familia na mwanaume hatoi huo uhuru.
Nikuulize tu, wanaume wangapi wapo comfortable na mke kuwa na safari za kikazi? au kwenda nje ya nchi kibiashara? sasa hawa wanawake corporate wanataka haya maisha kuliko wanavyomtaka mume. Suluhu ni kuwa na familia bila mume na ndicho kinachoendelea mjini.
Single mothers wengi zaidi ni wanawake wa mtaani wahudumu, wafanyabiashara ndogo ndogo, wasio na ajira n.k wala sio wa maofisini au corporate. Kwanza wanawake wa maofisini kwenye nchi hii ni wachache sane hata ukitaka kuchukulia walimu na manesi nao ni wanawake wa maofisini.Hata mimi naamini hivi ila kwa mazingira ya dunia ya sasa hapana, naanza kuwa na mashaka, kuna idadi kubwa ya wanawake wanataka uhuru wa familia na mwanaume hatoi huo uhuru.
Nikuulize tu, wanaume wangapi wapo comfortable na mke kuwa na safari za kikazi? au kwenda nje ya nchi kibiashara? sasa hawa wanawake corporate wanataka haya maisha kuliko wanavyomtaka mume. Suluhu ni kuwa na familia bila mume na ndicho kinachoendelea mjini.
Wa kunyumba umeanza pin zako.Ila sometimes hata hao wanawake wako wrong, una muacha mzazi mwenzio, unakua single ili kulea kibenteni na king'asti hii nini sasa? Lol
Niko Maposeni Sec, kwenye kongamano la vijana kuhusu maendeleo na fursa..Wa kunyumba umeanza pin zako.
Tukutane Peramiho