Huko maofisini wadada wengi ni single mama, hali ni mbaya

Niambie nchi gani iliyoendelea yenye single maza wengi under 25

Huko mtu anakua single maza akiwa na miaka 30+ tena anaamua mwenyewe wengine wanaenda kununua mbegu za mwanaume hospital.
Kenya umefika kujionea mambo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila sometimes hata hao wanawake wako wrong, una muacha mzazi mwenzio, unakua single ili kulea kibenteni na king'asti hii nini sasa? Lol
Wewe kama wewe unapenda kuolewa na kuzaa watoto walau 5 na kuendelea?
 
Psychological kuna kitu hakiko sawa mwanamke kuamua kwenda front na mwanaume kutaka kulelewa ni change quoter
Hii imekaaje kitaalamu, wajuzi?
 
Hawajazalishwa
Wengi wanataka wenyewe kuzaa...
Mtu anajipangia mpk mwanaume(mbegu) anayoitaka..

Umesahau huko maofisini wake za za watu 70%wanagongwa nje ya ndoa zao ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…