No one court-martials a civilian. Court martial ni mahakama ya jeshi kwa ajili ya wanajeshi waliotenda makosa ya kijeshi.Wamejitungia sheria ili wawezenkutenda maovu/dhambi bila kushitakiwa. Likitokea la kutokea hawa lazima waundiwe court Martial ili HAKI ITENDEKE na wala si kuwaonea.
1. Msoga et al
2. CCM mtandao -aione Polepole
3. Supika
4. ...... endelea
Najua sana... Soma hii hapa..elimu haina mwishoNo one court-martials a civilian. Court martial ni mahakama ya jeshi kwa ajili ya wanajeshi waliotenda makosa ya kijeshi.
Sasa hao civilians (ambao sio hata prisoners of war) unawashitakije kwenye hiyo mahakama?Najua sana... Soma hii hapa..elimu haina mwisho
court-martial (plural courts-martial or courts martial, as "martial" is a postpositive adjective) is a military court or a trial conducted in such a court. A court-martial is empowered to determine the guilt of members of the armed forces subject to military law, and, if the defendant is found guilty, to decide upon punishment.
▶️▶️▶️▶️➡️➡️➡️➡️ In addition, courts-martial may be used to try prisoners of war for war crimes
Yeye ni mahakama ya kawaida, hana kingaVipi Polepole naye kwa matukio ya 2015-2021? Watu walipotea na wengine wakaokotwa kwenye viroba. Je na yeye court martial imuhusu?
Wametunga sheria ya kuwateketeza Watanganyika tu.Wamejitungia sheria ili wawezenkutenda maovu/dhambi bila kushitakiwa. Likitokea la kutokea hawa lazima waundiwe court Martial ili HAKI ITENDEKE na wala si kuwaonea.
1. Msoga et al
2. CCM mtandao -aione Polepole
3. Supika
4. ...... endelea