Huko nje Watanzania tunadhauraulika sana siku hizi

Huko nje Watanzania tunadhauraulika sana siku hizi

Sijui mtoa mada alienda nchi gani lakini alichotaka kusema labda kilikuwa tofauti. Kama ni kwa wazungu ukisema wewe ni Tanzania watakuuliza Tanzania ipo wapi America Kusini au Africa wapi? Wenzetu hawajishuhulishi sana na mambo yasiyo wahusu sana. Hata silabasi zao ya shule haziweki msukumo wa kuelewa nchi nyingine kama ulivyo kwetu.

Labda uwe diplomat ndio itabidi usome sasa habari za nchi nyingine. Kama mtoa mada alienda kwenye maeneo ya diplomaic circles then, kwa wenye kuijua TZ wanaweza kuuliza maswali kwa kinachompendeza.

Kudharauliwa ni perception tu. Vitu ambavyo ni misimamo wa nchi yetu lazima uwe imara na kutetea msimamo wetu hata wakikuchallenge huu ndio msimamo wetu ukilegea watakushida na kukuelekeza cha kufanya be careful.
 
Hukawii kujitambulisha kama Mkenya au Mghana 😂😂😂
😀 😀 😀
Na ukibahatika kuwa na kiinglishi kisichokuwa na accent ndiyo kabisa ni rahisi kuwazuga unatoka nchi yoyote na wakakuamini!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijui mtoa mada alienda nchi gani lakini alichotaka kusema labda kilikuwa tofauti. Kama ni kwa wazungu ukisema wewe ni TZ watakuuliza TZ ipo wapi America kusini au Africa wapi...
Siku hizi Tanzania tunajulikana sana duniani ndugu..... for all the wrong reasons of course!
 
Wale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa..
Ni jambo la kawaida, kama mzazi akiwa mtu wa hovyo sana, hata watoto hamwezi kupata heshima katika jamii yenu.

Hivi unadhani kama ukiwa mtoto wa Deo Sanga, unaweza kusema proudly mbele ya wenzako kwamba huyo ndiye babangu?
 
Usiwe na shaka dogo. Safari nyingine jitambulishe unatoka Somalia uheshimike!!!
Bora Somalia.
Maana ikifika mahala hata Mmalawi au Mkomoro anakudharau maana yake wewe ni takataka kabisa bora hata kuwa Msomali!
 
Kha watuache. Juzi huyu Mzee kawa Na 2 Nyuma ya Rais wa Ghana Kama Mwanasiasa Bora wa bara la Afrika kati ya Marais wa Mataifa 54. Umeshindwa hata kuwauliza Marais wao kwenye hiyo Orodha wanashika nafasi ya ngapi!?
Tuanzie hapo kwanza. Vinginevyo ni wivu tu.
Ule ni upuuzi tu. Mataifa mengine hawana hata mpango wa kuhangaika kuwapigia kura marais mitandaoni.

Ni huku Tanzania, mataga walikuwa wakihasishana usiku na mchana wampe kura mtu ambaye wanadhani kwa kufanya hivyo wataficha msururu wa madhaifu yake.
 
Tuliheshimiwa zanani nje sasa hivi tunadharaulika sababu kuna mitanzania myenzetu imeungana na Amsterdam mkono ushoga usagaji na ndoa za jinsia moja mambo ambayo hatukuwa nayo
 
Bora Somalia.
Maana ikifika mahala hata Mmalawi au Mkomoro anakudharau maana yake wewe ni takataka kabisa bora hata kuwa Msomali!
Basi hongera. Nami nakushauri utumie jina la Abdirahim Cumar Geedi.
 
Ule ni upuuzi tu. Mataifa mengine hawana hata mpango wa kuhangaika kuwapigia kura marais mitandaoni.

Ni huku Tanzania, mataga walikuwa wakihasishana usiku na mchana wampe kura mtu ambaye wanadhani kwa kufanya hivyo wataficha msururu wa madhaifu yake.
teh teh teh, naaamini maelezo haya yangebaki hivi hivi kama Lissu ndiye angetangazwa mshindi
 
Wale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa...
From Colonial to Corona era.

Nyakati hizo watu waliaminishwa kuwa risasi zitagueka kuwa maji katika uwanja wa vita. Sasa watu wanaaminishwa kuwa katika napambano dhidi ya virusi vya COVID-19 vitasambalatishwa kwa kupiga nyungu.
 
Wale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa...
Hofu yangu ni kuwa wengi wanaukana utaifa pindi waulizwapo ama,wanapojitanbulisha pale ambapo hakuna utambulisho rasmi unapohitsjika,hii nikutokana na sifa, mbaya tunazolazimisha kuwa nazi kama taifa.Hii itatupa unyonge Sana kama taifa,hata siku zijazo.
 
Back
Top Bottom