Huko nje Watanzania tunadhauraulika sana siku hizi

Tutaachaje kudharaulika wakati asilimia 95 ya watanzania ni wapumbavu katika hii asilimia 95 mtu yule Naye yumo akiwa mpumbavu mwandmizi
 
MTOA MADA BWANA ETII NCHI ZA NJEE HALAFU MARA COMORO XIJUI MALAWI....UKIAMUA KUSHOBOKEA NCHI ZA NJEE SHOBOKA NA NCHII KWELII ZA NJEE .....hao wa comoro Tukiwa DAR TU HAWAFIKII KWA WINGI WA WATU......

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Sasa ujinga kama huu ndio unao zidi kutufedhehesha!
Kwa akili hizi haikosi wewe ni mwana CCM, hivi unaelewa unachozungumza?
 
Tupo enzi za Kinjejitile Ngwale
 
leo hii Tz imekuwa mfano wa nchi za ajabu ajabu. Tuishukuru na Simba Sc inapatia kaheshima fulani hivi
 
Ndo mana sioni fahari yoyote kuitwa 'diaspora' . Nilishashindwa kuitwa 'nyani' na hao watu wa nje...! Kama uko nje mimi mTz mwenzio nakushauri rudi nyumbani...! Home sweet home
Kataa uraia Dogo. SISI TUNASONGA MBELE.
 
Wewe ni bure kabisa hapa nchini tena ni hasara kubwa maana sifa za Mwl ulizozitoa hapo juu zimezidiwa kiwango na aliyepo sasa na wanamuogopa na kumheshimu kiasi ili wafanye nae biashara wanakubali kukaa nae mezani waelewane

Wabongo mna shida ya kuponda kilichopo na kusifia kilicho pita kama wewe hapa lazima ni kati ya wale watu ambao kipindi cha JK mlimponda sana,afu sasa hv mnasema mnamkumbuka

Nyie hamnaga lolote kichwani
 
Sasa wasipo tudharau sisi wawadharau akina nani msijali wabongo wenzangu hii ndo tafsiri ya maisha ni mzunguko.
 
Huyu wa sasa ni aibu tupu kwa kweli. Aibu mno!
 
Yeah, kuna watu wameifanya nchi yetu ionekane ni ya watu wapumbavu kutokana na mambo ya kutia kinyaa wanayoyafanya. Ni aibu!!

Mkuu vipi umekuwa shoga. Mana nje gani unayozungumzia. Usidanganye watu. Tupo huku. Hata siku Moja siwezi kujiita mkenya Wal mghana for what. Kama hujui unapodharau Nchi yako na kushindwa kuitetea ndo wanakudharau sana. Tena wanaokuona huna mana. Pale pale watakusifia sehr gut. Gut gesagt. Lakini watajiuliza baadaye na kuhitimisha walichosikia kuhusu waafrika kuwa Ni wapumbavu na hawajastaarabika. Ni kama unapoamua kutuambia sifa mbaya za mkeo. Sisi zinatuhusu Nini. Tutakudharau tu. Nobody cares. Ila wanapenda sana Hawa wazungu mnapojieleza vibaya. Wanaweka tiki tu. Otherwise they do not care. Hata hawajui Tz iko wapi. So shame on you.
 
Tunadhalaulika kwa kuingia UCHUMI WA KATI sio? Kuna mamutu humu ******* kweli. Kwahiyo tungekufungia ndani kwa LOCKDOWN ndiyo ungeonekana wa maana sana huko mataifani? Manyok sana wewe.
 
Tunadhalaulika kwa kuingia UCHUMI WA KATI sio? Kuna mamutu humu ******* kweli. Kwahiyo tungekufungia ndani kwa LOCKDOWN ndiyo ungeonekana wa maana sana huko mataifani? Manyok sana wewe.

Mkuu hauko facebook
Jitahid atleast kuwa na akili ya dada yako ya kubana kufuli anapotambua wewe ni ndugu yake
 
Mtoa mada ni vike vijamaa vya kushinda kwenye vijiwe vya kahawa hakijui kila kitu.
 
Urongo mkubwa. You are pipedreaming, hujasafiri kokote. Hakuna sehemu yoyote ya safari inayotoa nafasi ya kumdharau mwenziyo wala ya kujua anatoka wapi, labda singasinga wa India au mfalme mswati kavaa khanga au ofcourse umuone obama utajua ni mmarekani, lakini hataongea na wewe akwambie kakudharau. Aliyekudharau wewe alikujuaje? Ulimjuaje?
 
1. Maprofesa wa Sayansi wameacha kuamini katika Sayansi
2. Viongozi kadhaa (si wote) wa dini wameacha kumuabudu Mungu, sasa wanamuabudu mtu (aka mfu)
3. Wauaji, watesaji na zulumati wa haki wanatumia madhabahu kumhubiri Mungu yule yule wanayemchukiza
4. Watanzania karibia wote wanang'aang'aa macho tu kama misukule kusubiri mtu mmoja tu ndiyo awaamulie hatima yao
5. Niongeze volume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…