Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Sijawahi kumpa idhini hiyo acha kurahisisha mambo.Si Jiwe anajamba kwa niaba yako?
Akijamba Jiwe, ni Tanzania nzima wamejamba, ndiyo mambo yanavyokwenda hivyo.

Duu [emoji24][emoji24][emoji24]Kujamba ajambe Jiwe, dharau nipewe mimi?
Hapo na mimi nitamdharau anayenidharau.
Makubwa haya jamani, [emoji40][emoji40] msiwachokonoe huko walikoSi Jiwe anajamba kwa niaba yako?
Akijamba Jiwe, ni Tanzania nzima wamejamba, ndiyo mambo yanavyokwenda hivyo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sijawahi kumpa idhini hiyo acha kurahisisha mambo.
Hujamwelewa hata.Sasa kama unadharauliwa unataka sisi tukusaidieje bwana mdogo?
Hatupo kwaajili ya watu tupo kwajili ya sisi mwenyewe na Tz yetu, kwani wanakuja kwenu kukupa chakula pambana kwa nafasi yakoWale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa.
Enzi za Mwalimu (RIP baba/babu yetu), huko ubeberuni huyu mzee ingawa walikuwa hawampendi kwa misimamo yake lakini walikuwa wakimwogopa na kumheshimu mno.
Why? Ni kwa vile alikuwa ana uwezo wa kuitetea misimamo yake scientifically (aka kisomi) na IQ yake ilikuwa ipo njema sana. Halafu ukichanganya na ile tabia yake ya kutokupenda ubinafsi (selflessness) ndiyo haswa ilimwongezea legitimacy zaidi ya kusimamia proudly yale aliyokuwa akiyapigania. Akaheshimika!
Sasa hivi tumekuwa nchi kituko. Hata Wamalawi na Wakomoro hapa jirani wanatuona ni kama ma-Zinjanthropus fulani hivi. Ni nyakati mbaya sana hizi za kutambulika kama raia wa Tanzania. Haijawahi tokea!
Huko unakodharauliwa toka haraka.....kinachofuata watakusonga tope.Wale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa.
Enzi za Mwalimu (RIP baba/babu yetu), huko ubeberuni huyu mzee ingawa walikuwa hawampendi kwa misimamo yake lakini walikuwa wakimwogopa na kumheshimu mno.
Why? Ni kwa vile alikuwa ana uwezo wa kuitetea misimamo yake scientifically (aka kisomi) na IQ yake ilikuwa ipo njema sana. Halafu ukichanganya na ile tabia yake ya kutokupenda ubinafsi (selflessness) ndiyo haswa ilimwongezea legitimacy zaidi ya kusimamia proudly yale aliyokuwa akiyapigania. Akaheshimika!
Sasa hivi tumekuwa nchi kituko. Hata Wamalawi na Wakomoro hapa jirani wanatuona ni kama ma-Zinjanthropus fulani hivi. Ni nyakati mbaya sana hizi za kutambulika kama raia wa Tanzania. Haijawahi tokea!
Hama nchi......nenda kwa hao utakakoonekana NYANI.Hivi kama miwaziri inajipanga foleni na kunywa dawa, na kujilamba hadharani kwa kitu ambacho hakijathibitishwa kisayansi...na mkulu kwa ujasiri bila kuheshimu kiti anasema piga nyungu...si tunaonekana manyumbu tu?
Is it jokes or you mean it?Ndo mana sioni fahari yoyote kuitwa 'diaspora' . Nilishashindwa kuitwa 'nyani' na hao watu wa nje...! Kama uko nje mimi mTz mwenzio nakushauri rudi nyumbani...! Home sweet home
Hivi wametudharaulia wapi?. Kuna mahali umekutana nao wakakudharau hao Wa-comoro?. Au unajitengenezea hisia hasi bila sababuWale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa.
Enzi za Mwalimu (RIP baba/babu yetu), huko ubeberuni huyu mzee ingawa walikuwa hawampendi kwa misimamo yake lakini walikuwa wakimwogopa na kumheshimu mno.
Why? Ni kwa vile alikuwa ana uwezo wa kuitetea misimamo yake scientifically (aka kisomi) na IQ yake ilikuwa ipo njema sana. Halafu ukichanganya na ile tabia yake ya kutokupenda ubinafsi (selflessness) ndiyo haswa ilimwongezea legitimacy zaidi ya kusimamia proudly yale aliyokuwa akiyapigania. Akaheshimika!
Sasa hivi tumekuwa nchi kituko. Hata Wamalawi na Wakomoro hapa jirani wanatuona ni kama ma-Zinjanthropus fulani hivi. Ni nyakati mbaya sana hizi za kutambulika kama raia wa Tanzania. Haijawahi tokea!
Kuwa popular unaweza ukiwa ama famous au notorious. Tz ipo hapo kwenye nafasi ya pili. Aibu. Kuna wengine wanaandika humu wakati waliishia njia panda ya kwenda majuu. Mmoja kasema Malawi sio nchi ya nje. Itakuwa ya ndani kama nchi ya Zanzibar! Tz kwa vituko. Unakutana na nchi ya Zanzibar na nchi ya JMT. Hapo sasa. Tz kweli nchi ya vi-wonder!Siku hizi Tanzania tunajulikana sana duniani ndugu..... for all the wrong reasons of course!
Una onekana na nyumbuKwa sasa ukivaa yale manguo ya kijani, unaonekana kama kichwani hazikutoshi!
Afu Kenya watutafuta na watatupatapa,yani wanatuita bongo lalaTanzania ni aibu sana kwa sasa...
Wale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa.