Huko simba bundi ametua hali ngumu sana chombo kinakwenda shimoni, mwekezaji asusa

Huko simba bundi ametua hali ngumu sana chombo kinakwenda shimoni, mwekezaji asusa

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
I salute you kinsmen.
Huko simba hali mbaya wakuu msionr hivi .

Bundi ametua msimbazi!
Kwa sasa tajiri amesusa na hataki kutoa lolote lile, chanzo ni hasa viongozi waliokwenda dodoma na kukubali kucheza derby ambayo wanahofia wazi watagongwa na mavi yanagonga chupi..

Kulikuwa na mparanganyiko mkubwa sana tajiri amesusa kutoa senti yake na wanahangaika kumpigia simu hapokei na kasepa zake Dubai kula bata.

USHAHIDI..
Si mmeona wenyewe leo simba eti ili kwenda Tabora saivi wanapanda treni mpaka Dodoma na kutoka Dodoma mpaka Tabora!

Do you smell something fishy?
Kiufupi huko moto unawaka mkali sana
Wachezaji hawajapewa posho zao na mishahara ya mwezi huu, wamekata tamaa na huku wanaenda kuchinjwa na yanga soon, inasikitisha.

Wachezaji wazawa wawili hawajalipwa mshahara miezi mitatu na mchezaji mmoja mgeni naye hajalipwa mshahara miezi miwili.

Hakika tuwaombee simba maana wakipotea yanga watakosa my wake wa kujipigia.
1748715951803.jpg
1748185363350.jpg
1748190205622.jpg

Its Pancho
 
Lengo lake lilikuwa apate points za Mezani maana kumfunga yanga ngumu sana na sasa kaamua Hatoi hata Mia tena now wanapanda treni kama wanafunzi Kanji sio mtu kabisa na usajili wake wa billion 7
Yule Haweki hela Bila kuangalia Return Kwenye Biashara zake Kiufupi Kanji Anafaidika na Simba,Kuliko Simba inavyofaidika na Kanji".
 
Lengo lake lilikuwa apate points za Mezani maana kumfunga yanga ngumu sana na sasa kaamua Hatoi hata Mia tena now wanapanda treni kama wanafunzi Kanji sio mtu kabisa na usajili wake wa billion 7
Una akili kiduchu kama mani,i ya shog,a.

Simba alikuwa tayari kucheza derby June 15 sasa utasemaje alikuwa anataka pointi za mezani?

Tumia akili zako mwenyewe usisubiri udaku ndiyo na wewe unakurupuka kusikojulikana na kuanza kuharishia watu hovyo.
 
Simba hakuwa tayari kucheza kiukweli ukweli ila nje nje tu sasa yanga wamekubali mnabweka bweka tu

Kama mpo tayari kucheza kwanini tajiri kasusq na kaenda zake Dubai na simu hapokei?

Kwanini muunganishe kwa treni mpaka Tabora? Jambo ambalo sio la kawaida ni kina Ken gold ambao ndio huja kwa mafungu mafungu ndio wamefanya hivyo nyie iweje mfanye hayo na hatujawazoea?

Leta team tarehe 25 ukandwe utake usitake
 
Nimeona leo wachezaji wanapanda tren, nimeshangaa kidogo, wakati wangeweza kuondoka jana na ndege,, naungana na wewe kuna kitu hakiendi sawa.
Lakini tukiwastua wanasimba wanakataa

Taarifa inaonyesha watapanda treni masaa yasiyopungua matatu kuja Dodoma halafu tena sasa waanze safari ya Bus mpaka Tabora..! Simba shtukeni mudi anawaumiza
 
Back
Top Bottom