Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Hata ukiwatetea haitosaidia wanaenda shimoniNa bado!.... Kumanyoko zao!
Nimechoka kuwatetea!
Boss kasusaMaji wataita mma
Lengo lake lilikuwa apate points za Mezani maana kumfunga yanga ngumu sana na sasa kaamua Hatoi hata Mia tena now wanapanda treni kama wanafunzi Kanji sio mtu kabisa na usajili wake wa billion 7Kanji Mjanja mjanja Sana😀😀😀
Yule Haweki hela Bila kuangalia Return Kwenye Biashara zake Kiufupi Kanji Anafaidika na Simba,Kuliko Simba inavyofaidika na Kanji".Lengo lake lilikuwa apate points za Mezani maana kumfunga yanga ngumu sana na sasa kaamua Hatoi hata Mia tena now wanapanda treni kama wanafunzi Kanji sio mtu kabisa na usajili wake wa billion 7
Nimewachoka.Hata ukiwatetea haitosaidia wanaenda shimoni
Una akili kiduchu kama mani,i ya shog,a.Lengo lake lilikuwa apate points za Mezani maana kumfunga yanga ngumu sana na sasa kaamua Hatoi hata Mia tena now wanapanda treni kama wanafunzi Kanji sio mtu kabisa na usajili wake wa billion 7
Simba hakuwa tayari kucheza kiukweli ukweli ila nje nje tu sasa yanga wamekubali mnabweka bweka tuUna akili kiduchu kama mani,i ya shog,a.
Simba alikuwa tayari kucheza derby June 15 sasa utasemaje alikuwa anataka pointi za mezani?
Tumia akili zako mwenyewe usisubiri udaku ndiyo na wewe unakurupuka kusikojulikana na kuanza kuharishia watu hovyo.
Lakini tukiwastua wanasimba wanakataaNimeona leo wachezaji wanapanda tren, nimeshangaa kidogo, wakati wangeweza kuondoka jana na ndege,, naungana na wewe kuna kitu hakiendi sawa.
Ndio wana mechi na Ken gold ambao wameamua kuchezea huko Tabora Ken gold ndio mwenyejiWana mechi Tabora?
Alikuwa tayari geresha akijua Yanga asingecheza.Una akili kiduchu kama mani,i ya shog,a.
Simba alikuwa tayari kucheza derby June 15 sasa utasemaje alikuwa anataka pointi za mezani?
Tumia akili zako mwenyewe usisubiri udaku ndiyo na wewe unakurupuka kusikojulikana na kuanza kuharishia watu hovyo.
Ndio maana anatoa mapovu sana ujue simba nawashangaa walitaka mpanzu akabwe na yanga wamekubali lakini sasa badala ya kufurahi naona wamenuna tenaAlikuwa tayari geresha akijua Yanga asingecheza.
Ndio wana mechi na Ken gold ambao wameamua kuchezea huko Tabora Ken gold ndio mwenyeji