Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Sahihi kabisa lakini pia si vema kumtambua kama gaidi kwa kumtazama machoni.Hao jamaa huwa hawatabiriki.... Bora wakikamatwa tu warudishwe makwao. Huwezi mtambua mtu mwema kwa kumtazama machoni.
South Africa Wasomali wametoboa wengi, sifahamu wanapataje mitaji lakini wengi wana biashara zinazohitaji mtaji wa US$ 5,000 kuendelea.
Ni kweli mkuu.Sahihi kabisa lakini pia si vema kumtambua kama gaidi kwa kumtazama machoni.
Kwa hiyo RSA ni sehemu ya Canada,UK na USA?Hawaendi huko Kwa visa?Kwenda Canada, US au UK sometimes sio suala la umbali bali ni suala la urahisi wa raia wa nchi hiyo kwenda nchi nyingine. South Africa ni kama kijisehemu ka nchi hizo.
watanzania wengi hawana exposure kwa wasomali hiyo ndo njia rahisi mno na fursa ya kutobolea ughaibuni wakiweza pita Tanzania hatimaye malawi or mozambique then South Africa wanakua wameisha luka kiunziKwa hiyo RSA ni sehemu ya Canada,UK na USA?Hawaendi huko Kwa visa?
Uharamia, moja ya chanzo cha mapato yao. Baharini huko hawakawii kuteka meli zinazopita kwenye bahari yao.South Africa Wasomali wametoboa wengi, sifahamu wanapataje mitaji lakini wengi wana biashara zinazohitaji mtaji wa US$ 5,000 kuendelea.
Unakijua chanzo cha hao wasomali kuanza kuteka MELI zinazo pita kwenye Uganda wao kwanza?Uharamia, moja ya chanzo cha mapato yao. Baharini huko hawakawii kuteka meli zinazopita kwenye bahari yao.
Hauku isikia vizuri iyo habari , huuo dereva alipewa dili akawafikishe makambako then hapo wazee wa ndege wana dandia ndinga nyingine kuelekea pmpaka tunduma kuingia zambia ready to take off to J burgHabari wanabodi!
Katika taarifa ya habari ya leo wakati natazama hapa ITV kuna gari kubwa imepata ajari kule Handeni watu wa tatu wamefariki.
Polisi wamefanikiwa kuwakamata wasomalia kama 15 waliokuwa wakisafiri wanaelekea Songea kwenye makaa ya mawe, sasa hapa ndio najiuliza huko Songea kuna nini cha ajabu mpaka watu wavuke mipaka yote waende Songea?
Kama kuna fursa nyingi tuambiane, haiwezekani watu wavuke mipaka yote waje mpaka Bongo wakati wenyewe wabongo hatujui kama kumeila huko.
Kama kuna mgodi umetema tuambiane ,tuwahi na moko zetu huko bombi nyumbi.
Unamaanisha ni rahisi kupata visa za nchi hizo, ukiwa na PASSPORT ya S.A.. au ni urahisi wa safari/kuzamia kinyemela?Kama huna ujuzi na mambo haya kaa kimya tu dude. Niwadanganye wajinga wenzangu kwa maslahi gani. Elewa tu kwamba ni rahisi mno kutoka South Africa kwenda first world countries kuliko ilivyo kwa nchi yoyote ya Africa-labda Mauritius.
Fafanua zaidi tuelewe... kuna vitu kama huajelezea hiviwatanzania wengi hawana exposure kwa wasomali hiyo ndo njia rahisi mno na fursa ya kutobolea ughaibuni wakiweza pita Tanzania hatimaye malawi or mozambique then South Africa wanakua wameisha kiunzi
Hivi songea kuna njia za pori kwa pori hadi Msumbiji?Habari wanabodi!
Katika taarifa ya habari ya leo wakati natazama hapa ITV kuna gari kubwa imepata ajari kule Handeni watu wa tatu wamefariki.
Polisi wamefanikiwa kuwakamata wasomalia kama 15 waliokuwa wakisafiri wanaelekea Songea kwenye makaa ya mawe, sasa hapa ndio najiuliza huko Songea kuna nini cha ajabu mpaka watu wavuke mipaka yote waende Songea?
Kama kuna fursa nyingi tuambiane, haiwezekani watu wavuke mipaka yote waje mpaka Bongo wakati wenyewe wabongo hatujui kama kumeila huko.
Kama kuna mgodi umetema tuambiane ,tuwahi na moko zetu huko bombi nyumbi.
Tusiwachekee hawa magaidi, popote pale walipo hapa Tanzania inabidi wakamatwe tu na kurudishwa makwao.
Kule wana kijiji kabisa kwa ajili ya mishe zao , na serikali ya south ni kama inawatambua kabisa maana imewapa haki zao zote kama raia wa kijiji.South Africa Wasomali wametoboa wengi, sifahamu wanapataje mitaji lakini wengi wana biashara zinazohitaji mtaji wa US$ 5,000 kuendelea.
Nimeanza kusafiri 1990Kama huna ujuzi na mambo haya kaa kimya tu dude. Niwadanganye wajinga wenzangu kwa maslahi gani. Elewa tu kwamba ni rahisi mno kutoka South Africa kwenda first world countries kuliko ilivyo kwa nchi yoyote ya Africa-labda Mauritius.
Sera za ujamaa ndo zimetufanya hivyo'Kwenye miti hakuna wajenzi'! Watz tumebweteka, watu wa nje ndio wanaona fursa!
Ajatembea anajifanya mjuajiKama huna ujuzi na mambo haya kaa kimya tu dude. Niwadanganye wajinga wenzangu kwa maslahi gani. Elewa tu kwamba ni rahisi mno kutoka South Africa kwenda first world countries kuliko ilivyo kwa nchi yoyote ya Africa-labda Mauritius.
Uliona wapi kwenye miti kukawa na wajenzi.Somalia na Ethropua hakuna rasilamali Zinazovuma hapa Afrika hivyo hawana cha kupoteza hivyo vijana wa kitanzania kuiga kijana msomali/muhabeshi ni kujipotezea muda.
Tanzania kuna migodi bubu mingi sana ya kujichimbia tu na kutoka maisha tena bika kodi.
Tanzania kuna maziwa makubwa 3 yanayotoa samaki muda wote ie Tanganyika Viktoria na Rukwa.
Tanzania ina mabonde oevu ya kulima mwaka mzima ambayo ni Rufiji,Kilombero, Ruaha/Usangu, Nyasa kagera, Kilimanjaro,Malagarasi nk
Tanzania kuna ardhi yenye rutuba isiohitaji mbolea mikoa ya Kagera,Kigoma,Songea,Mbeya,Tanga,Morogoro, Pwani, Lindi mtwara Njombe,Iringa Katavi ,Rukwa,Songwe, Kilimanjaro nk Jichagulie mkoa wa kwenda ukaanzishe kilimo.
Tanzania kuna mbuga za wanyama za kutosha.
Tanzania ina mipaka ya kutosha ya kukuwezesha kufanya biashara na nchi jirani.
Tanzania ina Amani tele na watu wakarimu wenye upendo kila mkoa.
Halafu umuige msomali kutapatapa kwenye maroli huku ukiacha rasilimali za kutosha kukufanya uwe tajiri .
Rejea shairi linaitwa Fikiri:
"Fikiri mimi jamani nakufa hapa kwa nini, chakula kingi nyumba, ..nyumbani ashiba..." .
Ulaya kuna rasolimsli gani za kumtajirisha mkimbizi kutoka Afrika, je waweza nitajia watu maarufu waliotajirika kwa kuwa wakimbizi huko ulaya .
Uaminifu wanaamiana awafanyi bata wanasave wanachanga Sana.South Africa Wasomali wametoboa wengi, sifahamu wanapataje mitaji lakini wengi wana biashara zinazohitaji mtaji wa US$ 5,000 kuendelea.