Huko Songea kuna maajabu gani mpaka Wasomali wakimbilie huko?

Nimeanza kusafiri 1990
Si kweli. Narudia tena si kweli. Labda ulianza kusafiri kutoka mikoani kwenda Dar. Na kama ulianza kusafiri kimataifa basi hautashangaa boda la Sauzi kwenda mamtoni. Hiyo miaka ya 90 ndio ilikuwa miaka ya mwisho mwisho ya kuzamia bondeni, then kidogo unajifunza kizulu na kisha unazamia meli kupitia bandari ya Durban na kuingia Ugiriki huku kukiwa na msemo maarufu "Tanzania no naga". Acha kabisa .
 
Simple math with logical answers.

Tumewekeza ulinzi mkubwa mpaka wa Mtwara kuelekea Msumbiji.

Wasomali wanakimbilia Songea na hao hao wanakutwa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji wakifanya ugaidi....


Kamati ya Ulinzi na Usalana ya Songea kazi yake ni kukagua miradi ya serikali na jukumu la usalama wameachiwa polisi.....


Jumlisha ukipata jibu toa
 
Una akili sana nimependa ideas yako
 
South Africa Wasomali wametoboa wengi, sifahamu wanapataje mitaji lakini wengi wana biashara zinazohitaji mtaji wa US$ 5,000 kuendelea.
Wooo unamaanisha kuwa na biashara yenye mtaji kuanzia Us 5,000 South Africa tayari ushatoka?
 
Usikute ndio hao wanawadanganya baadhi ya watu wa afrika.mashariki na.msumbiji huko carp ode lga do kuwa mungu wao yupo.maporini wanampigania?
 
Wazungu wameshawashtukia ni ngumu sana kulipwa mara nne,kwa ujinga wao ndio unaleta shida wengine kiaminika
 
Reactions: BAK
Ni kweli lakini wengi wameshatajirika na kununua nyumba, magari na wengine kuanzisha biashara.
Wazungu wameshawashtukia ni ngumu sana kulipwa mara nne,kwa ujinga wao ndio unaleta shida wengine kiaminika
 
Ukisha fika South Africa unawezaje kwenda Canada?
Wakiwa south africa ,wasomali wanapewa haki kadhaa za ukimbizi , ikiwepo pia haki ya kupata refugee passport ambayo ina uwezo wa kuwapeleka nchi kadhaa za ulaya na america ,
Ndio maana safari yao ngumu kabisa ni kutoka somalia kwenda south africa , wakifika south , wanafanyiwa mipango ya refugeee documents then refugee passport ndo wanaondoka ulaya mazima
 
Kuna utajiri mkubwa huko wazawa wameukalia wanakufa fukara
 
Hao jamaa huwa hawatabiriki.... Bora wakikamatwa tu warudishwe makwao. Huwezi mtambua mtu mwema kwa kumtazama machoni.

Ugaidi hauna taifa kuna watanzania wapo jela kenya huko kwa hizo inshu za ugaidi wa mwaka 2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…