Huko Songea kuna maajabu gani mpaka Wasomali wakimbilie huko?

Mkwaju wa south africa , nchi nyingi za ulaya ni free visa , ni vile tu wa south hawapendi safari,
Wasomali wakifika south huwa wanatambulika kama wakimbizi na hivyo wanapambana kupata refugee passport ya south africa ambayo ina privileges za free visa kwenye nchi nyingi .safari yao kwenda canada haiwi ngumu kama sisi wakiwa sa
 
Point
 
Usiwaige hao, kwa Wasomali kila kitu ni fursa hata vumbi na mawe achilia mbali bahari
 
Naomba ushahidi au ushuhuda kutoka kwa yeyote yule aliyejiua kwa lengo akapate mabikra 72 mbinguni.
Ngoja nikutafutie tiketi ya Bus uende Somalia ukaonane na hao jamaa, wapo wengi tu na hawajasoma ila wamekariri kitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…