Huko Tehran jioni hii wamepigwa na kitu kizito kituo cha mafuta chateketea!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Kituo cha mafuta huko Tehran Iran jioni hii kimepigwa na kitu kiito kisichojulikana na sasa hivi kinateketea kwa moto!!!

Baada ya kipigo cha siku 12 kutoka majeshi ya Israel Iran sasa inasumbuliw na milipuko ya mabomu karibu kila siku nchi humo!!!

Iran kuna watu wazuri wengi waliokufa kwenye vita, Israeli pia ina watu wengi wazuri.. Tusifurahie machafuko sehemu yoyote tu
 
Kituo cha mafuta huko Tehran Iran jioni hii kimepigwa na kitu kiito kisichojulikana na sasa hivi kinateketea kwa moto!!!

Baada ya kipigo cha siku 12 kutoka majeshi ya Israel Iran sasa inasumbuliw na milipuko ya mabomu karibu kila siku nchi humo!!!

Mimi ninachoelewa ndani ya siku 12 Israel ndo walishushiwa kipigo heavy mpaka wateule wa mungu waliikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigo wakamwomba USA aingilie naye akakipata cha moto wakaona waombe poo
 
Aisee!Mbona kuna "Rede brigade" mmoja alituambia "mayahudi" walipewa mkong'onto na Iran hadi wakaomba vita iishe?
Kituo cha mafuta huko Tehran Iran jioni hii kimepigwa na kitu kiito kisichojulikana na sasa hivi kinateketea kwa moto!!!

Baada ya kipigo cha siku 12 kutoka majeshi ya Israel Iran sasa inasumbuliw na milipuko ya mabomu karibu kila siku nchi humo!!!

Mimi nichoelewq ndani ya siku 12 Israel ndo walishushiwa kipigo heavy mpaka wateule wa mungu waliikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigo wakamwomba USA aingilie naye akakipata cha moto wakaona waombe poo
Huu ni ushabiki maandazi wa Yanga na simba
 
Ukitaka kujua kwamba TANZANIA ina vijana wengi wapumbavu Ingia kwenye jukwaani hili....wengi wanachuki na Israel kwasababu ya dini Tu, ingawa ukweli unajulikana kuwa Iran imepata hasara kubwa Sana
 
Mimi nichoelewq ndani ya siku 12 Israel ndo walishushiwa kipigo heavy mpaka wateule wa mungu waliikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigo wakamwomba USA aingilie naye akakipata cha moto wakaona waombe poo
Sahihi kabisa mkuu. Huyu jamaa Echolima1 ana shida ya ubongo amekuwa brainwashed na mashog,a.

Iran ndiye aliyeshinda vita ile kwa kumshushia kipigo kikali Israel hadi bwana wake Marekani akaingilia kati kutaka ceasefire na Iran ndiye wa mwisho kurusha risasi kwenda Israel kitu ambacho kwa kanuni za vita ndiye mshindi.
 
Mimi nichoelewq ndani ya siku 12 Israel ndo walishushiwa kipigo heavy mpaka wateule wa mungu waliikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigo wakamwomba USA aingilie naye akakipata cha moto wakaona waombe poo
Iran hawakuwa na precision ila madude yao ni hatari. Israel alichomfanya Iran ni hatari mara 100
 
Hivi Iran anga lake lilifungwa, hakuna ndege kutoka wala kuingia isipokuwa wao tu, leo mpuuzi inaona Iran ndio mshindi kwa vile iliharibu majengo ya Israel?
Hii ni akili kweli?
Je kama Israel angeamua kuharibu majengo na kudhuru raia unafikiri angeshindwa ikiwa alimiliki anga?
PureView zeiss
 
Iran hawakuwa na precision ila madude yao ni hatari. Israel alichomfanya Iran ni hatari mara 100
Kama ingekuwa ni hivyo Israel asingeomba poo maana maana hata waliojificha kwenye mashimo kama panya huduma ya muiran iliwafikia
 
Ukitaka kujua kwamba TANZANIA ina vijana wengi wapumbavu Ingia kwenye jukwaani hili....wengi wanachuki na Israel kwasababu ya dini Tu, ingawa ukweli unajulikana kuwa Iran imepata hasara kubwa Sana
Ile taasisi ya elimu iliyobutuliwa, weissman,sasa hivi inadahili nusu ya uwezo wake,mifumo ya kufua umeme ilibondwa, miundombinu ya mafuta hadi misri wakakosa mafuta
Tuliona mayor wa mji mmoja akitaka suluhu maana wanaangamia, trump alisema israel ilibondwa mno siku za mwisho
 
Back
Top Bottom