much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Ndoo hivyo sio poa hadi wateule wa mungu walikuwa wanaikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigoHakuna aliyebisha kwa sababu hata vile vinu vya kutwangia mpunga(ooo nooo ni vya nyuklia)vipo salama pamoja na wanasayansi wake.