Iran kuna watu wazuri wengi waliokufa kwenye vita, Israeli pia ina watu wengi wazuri.. Tusifurahie machafuko sehemu yoyote tuKituo cha mafuta huko Tehran Iran jioni hii kimepigwa na kitu kiito kisichojulikana na sasa hivi kinateketea kwa moto!!!
Baada ya kipigo cha siku 12 kutoka majeshi ya Israel Iran sasa inasumbuliw na milipuko ya mabomu karibu kila siku nchi humo!!!
Mimi ninachoelewa ndani ya siku 12 Israel ndo walishushiwa kipigo heavy mpaka wateule wa mungu waliikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigo wakamwomba USA aingilie naye akakipata cha moto wakaona waombe pooKituo cha mafuta huko Tehran Iran jioni hii kimepigwa na kitu kiito kisichojulikana na sasa hivi kinateketea kwa moto!!!
Baada ya kipigo cha siku 12 kutoka majeshi ya Israel Iran sasa inasumbuliw na milipuko ya mabomu karibu kila siku nchi humo!!!
Kituo cha mafuta huko Tehran Iran jioni hii kimepigwa na kitu kiito kisichojulikana na sasa hivi kinateketea kwa moto!!!
Baada ya kipigo cha siku 12 kutoka majeshi ya Israel Iran sasa inasumbuliw na milipuko ya mabomu karibu kila siku nchi humo!!!
Aje atuandikie gazeti refu tusome.
Huu ni ushabiki maandazi wa Yanga na simbaMimi nichoelewq ndani ya siku 12 Israel ndo walishushiwa kipigo heavy mpaka wateule wa mungu waliikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigo wakamwomba USA aingilie naye akakipata cha moto wakaona waombe poo
Ukitaka kujua kwamba TANZANIA ina vijana wengi wapumbavu Ingia kwenye jukwaani hili....wengi wanachuki na Israel kwasababu ya dini Tu, ingawa ukweli unajulikana kuwa Iran imepata hasara kubwa SanaHuu ni ushabiki maandazi wa Yanga na simba
Watachukua muda sana kukuelewaIran kuna watu wazuri wengi waliokufa kwenye vita, Israeli pia ina watu wengi wazuri.. Tusifurahie machafuko sehemu yoyote tu
Sahihi kabisa mkuu. Huyu jamaa Echolima1 ana shida ya ubongo amekuwa brainwashed na mashog,a.Mimi nichoelewq ndani ya siku 12 Israel ndo walishushiwa kipigo heavy mpaka wateule wa mungu waliikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigo wakamwomba USA aingilie naye akakipata cha moto wakaona waombe poo
Iran hawakuwa na precision ila madude yao ni hatari. Israel alichomfanya Iran ni hatari mara 100Mimi nichoelewq ndani ya siku 12 Israel ndo walishushiwa kipigo heavy mpaka wateule wa mungu waliikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigo wakamwomba USA aingilie naye akakipata cha moto wakaona waombe poo
Kama ingekuwa ni hivyo Israel asingeomba poo maana maana hata waliojificha kwenye mashimo kama panya huduma ya muiran iliwafikiaIran hawakuwa na precision ila madude yao ni hatari. Israel alichomfanya Iran ni hatari mara 100
Ile taasisi ya elimu iliyobutuliwa, weissman,sasa hivi inadahili nusu ya uwezo wake,mifumo ya kufua umeme ilibondwa, miundombinu ya mafuta hadi misri wakakosa mafutaUkitaka kujua kwamba TANZANIA ina vijana wengi wapumbavu Ingia kwenye jukwaani hili....wengi wanachuki na Israel kwasababu ya dini Tu, ingawa ukweli unajulikana kuwa Iran imepata hasara kubwa Sana
mipango isiyowezekanaMpango ni kuondoa neno Islamic republic.
Na ndo ukweli huoAisee!Mbona kuna "Rede brigade" mmoja alituambia "mayahudi" walipewa mkong'onto na Iran hadi wakaomba vita iishe?
Hakuna aliyebisha kwa sababu hata vile vinu vya kutwangia mpunga(ooo nooo ni vya nyuklia)vipo salama pamoja na wanasayansi wake.Na ndo ukweli huo