Ndoo hivyo sio poa hadi wateule wa mungu walikuwa wanaikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigoHakuna aliyebisha kwa sababu hata vile vinu vya kutwangia mpunga(ooo nooo ni vya nyuklia)vipo salama pamoja na wanasayansi wake.
Hizo akili za Madrasa mnadanganywa sana hapo nani umeona amefurahia machafuko?Iran kuna watu wazuri wengi waliokufa kwenye vita, Israeli pia ina watu wengi wazuri.. Tusifurahie machafuko sehemu yoyote tu
Iran alizika majenerali wengi na wanasayansi kama kuku na mkuu wa majeshi wa Iran aliuawa kama kibakaSahihi kabisa mkuu. Huyu jamaa Echolima1 ana shida ya ubongo amekuwa brainwashed na mashog,a.
Iran ndiye aliyeshinda vita ile kwa kumshushia kipigo kikali Israel hadi bwana wake Marekani akaingilia kati kutaka ceasefire na Iran ndiye wa mwisho kurusha risasi kwenda Israel kitu ambacho kwa kanuni za vita ndiye mshindi.
Ulivyo mjinga na mpumbavu mada ni nyingine na wewe unaongelea kitu Kingine kabisa kudhibitisha Ujinga wako!!Mimi ninachoelewa ndani ya siku 12 Israel ndo walishushiwa kipigo heavy mpaka wateule wa mungu waliikimbia nchi yao ya ahadi kwa meli za mizigo wakamwomba USA aingilie naye akakipata cha moto wakaona waombe poo
Mada ni nyingine na wewe unajibu vingine tu ili watu wakuone ulivyo mjinga na mpumbavu!! Soma kichwa cha habari kinasemaje? Ndipo ujibu uache uzwazwa wewe!!!Aisee!Mbona kuna "Rede brigade" mmoja alituambia "mayahudi" walipewa mkong'onto na Iran hadi wakaomba vita iishe?
Kuna kila sababu ya wewe kwenda kupimwa akili maana inaonekana wazi hujitambui!!Sahihi kabisa mkuu. Huyu jamaa Echolima1 ana shida ya ubongo amekuwa brainwashed na mashog,a.
Iran ndiye aliyeshinda vita ile kwa kumshushia kipigo kikali Israel hadi bwana wake Marekani akaingilia kati kutaka ceasefire na Iran ndiye wa mwisho kurusha risasi kwenda Israel kitu ambacho kwa kanuni za vita ndiye mshindi.
Kumbe wakifanya Israel inakua sio ugaidi ila wakifanya Iran mnaita ugaidi!! Unafiki wa wayahudi ni balaa.Kituo cha mafuta huko Tehran Iran jioni hii kimepigwa na kitu kiito kisichojulikana na sasa hivi kinateketea kwa moto!!!
Baada ya kipigo cha siku 12 kutoka majeshi ya Israel Iran sasa inasumbuliw na milipuko ya mabomu karibu kila siku nchi humo!!!
Sina namna bora ya kukusaidia uelewe nilichokieleza kinahusu nini na kwa nini!Pata utulivu wa mwili na akili kwanza.Mada ni nyingine na wewe unajibu vingine tu ili watu wakuone ulivyo mjinga na mpumbavu!! Soma kichwa cha habari kinasemaje? Ndipo ujibu uache uzwazwa wewe!!!
Akili zako unazijuq wewe na wazazi wako waliokuleta DunianiKituo cha mafuta huko Tehran Iran jioni hii kimepigwa na kitu kiito kisichojulikana na sasa hivi kinateketea kwa moto!!!
Baada ya kipigo cha siku 12 kutoka majeshi ya Israel Iran sasa inasumbuliw na milipuko ya mabomu karibu kila siku nchi humo!!!
Wakianza kulipa msilie lie kama kipindi kile mkaomba peace deal. Na sahivi Mmeona China anapeleka ndege za kutosha, na Trump hawezi kubali vita nyingine huku mazungumzo ya Ukraine yakiendeleaEndelea tu kubwabwaja lakini cha moto Iran wanakipata!!!
Wenye chuki na irani na Palestine ni sababu ya nnUkitaka kujua kwamba TANZANIA ina vijana wengi wapumbavu Ingia kwenye jukwaani hili....wengi wanachuki na Israel kwasababu ya dini Tu, ingawa ukweli unajulikana kuwa Iran imepata hasara kubwa Sana
Hivi unaamini Israel hesabu zao zilienda sawa?na km kweli Israel waliwamudu wa Iran,lengo lao lilitimia?nachokiamini Israel na Marekani wanatamani hata leo waipindue serikali ya Tehran,na kwenye Ile vita Israel alipanga kufanya mapinduzi ya serikali ila ameshindwa na mbaya hakutegemea kupata majibu km Yale Toka Iran..tuache mahaba Israel imeshindwa.Iran hawakuwa na precision ila madudea yao ni hatari. Israel alichomfanya Iran ni hatari mara 100
We mwenyewe mkuu apo ulipo unaipenda israel kwa sababu ya dini yako tu.wabongo tumekuwa ma dunderhead kwa sababu hatusomi,tunalishwa matango pori na wafia dini.nenda kasome israel hii siyo ile ya kwenye biblia mkuu,lakini pia jua tofauti kati ya uzayuni na israel hivi ni vitu viliwi tofauti.Ukitaka kujua kwamba TANZANIA ina vijana wengi wapumbavu Ingia kwenye jukwaani hili....wengi wanachuki na Israel kwasababu ya dini Tu, ingawa ukweli unajulikana kuwa Iran imepata hasara kubwa Sana
hili taifa limeanzishwa na wana magharibi kuserve interest zao pale middle east,kitovu cha utajiri wa dunia kipo apo na israel ni jicho la europeans apo bro...someni wazee acheni kufuatilia story za udaku,We mwenyewe mkuu apo ulipo unaipenda israel kwa sababu ya dini yako tu.wabongo tumekuwa ma dunderhead kwa sababu hatusomi,tunalishwa matango pori na wafia dini.nenda kasome israel hii siyo ile ya kwenye biblia mkuu,lakini pia jua tofauti kati ya uzayuni na israel hivi ni vitu viliwi tofauti.