Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Kwa mtu makini na mwenye uelewa mpana wa siasa au wale wana CCM makini na wenye upeo mkubwa hawawezi kukubali kuwa huku kuhamia kwa wapinzani kwa maana ya Wabunge na Madiwani ni ishara ya kukubalika kwa CCM au kuboreka kwa sera zake, la hasha!
Kuna kitu hapa kinasukwa kwa ustadi na " gharama" kubwa sana! Wachumia tumbo waliokuwa wanajifanya wapinzani huku wakiwa hawajui chochote wanachosimamia zaidi ya matumbo yao leo wanaunga juhudi!
Kesho na kesho kutwa tusishangae hawa ndo watatumika kulala barabarani wakishinikiza Bwana Mkubwa aongezewe kipindi cha tatu ili amalizie miradi yake ya SGR, Stiglers Gorge, Kununua Ndege n.k.
Tumeona tayari hofu ya the former Statesman Big Ben kwa submission aliyofanya recently.
Ngoja tuone mwisho wake ! huku wana CCM wengine wakiwa hawana hofu yoyote,wapowapo tu kama misukule!