Maoni yako ,inawezekana ikawa ndivyo sivyo,baada ya wananchi kung'amua ya kwamba hakuna upinzani nchini kuna wachumia tumbo tu.
Ni Sacco's za familia flani zinazotumia kichaka cha siasa kujinufaisha.
Wameona bora warudi sehemu yenye uhakika wa kufanya siasa bila bugzha
Yaani watu wengine sijui mtaelimika lini, yaani unaona umefika nchi iwe na mtazamo mmoja tu? pole sana